Yesu hawezi kuwa mshauri bora wa ndoa wewe!, Yeye hata harufu tu ya papuchi haijui.Wewe chukua huyo uwenao wa wili kuliko kuendelea kufanyanae uzinzi.Nakama ni kweli kuoa wake wawili ni dhambi,basi kumzini huko ulikokwisha kufanya ni dhambi iliyo na adhabu tayari.Yale yalikuwa makosa, na yameandikwa ili kutufundisha kuyaepuka hayo!
Halafu ilikuwa agano la kale!
Yesu alipokuja ameweka wazi kila kitu, akasema mke mmoja mume mmoja nao hawatakuwa wawili bali mwili mmoja!
Ibrahim baba wa imani alibarikiwa na huku anamiliki wake watatu.We unasema nini hapa?.Hatupaswi kuhoji Neno la Mungu bali kulitii na kulizingatia tu!
Kigezo cha kuwa wengi wanacheat wala usishangae maana imeandikwa :
“Njia iendayo upotevuni (motoni) ni pana nao waingiao ni wengi”
Kwa hiyo usishangae watu wengi kucheat hata Mungu alishajua hilo!
Hayupo hata mmoja asiyezini katika hao uliowataja,ila ruksa kufurahisha jamvi.Kuna watu pia wapo kwenye ndoa na wengine wako mbali mbali kama wewe na mkeo na hawa cheat wala nini.
Kuna watu kutokana na malezi/makuzi yao na imani zao hawazini wala kufanya uasherati kabisa.
Na unamkuta yuko huru kabisa na anafurahia maisha na hana kasoro yoyote ya maumbile wala nguvu n.k
Upuuzi upi huo?Ebu uweke hapa tuone.Sulemani alifanya upuuzi uliomletea madhira na hatimaye kutenda dhambi. Kujitetea ni kawaida ya mwanadamu lkn ukitubu utapata rehema, ukiendelea na huo mchezo utailetea madhira makubwa familia yako.
Vv
M
Kwanini hupendi wanawake watu wazima
Uvivu wenu ndio unaosababisha yote hayo,wanawake wamejaa tele wanatafuta wanaumeAache kuufananisha Ukristo na mambo ya ajabu ajabu,how come wengine tupo single kwa kukosa wananwake wenye vigezo kisha yeye atake kumiliki wawili tena namba D
Labda ulisemalo ni kweli inawezekana nilioa mapema lakin nimechozungumza nampenda mke na haipiti mwez hatujaonana na mara nyingi naenda home. Biashara mazingira ya tz magumu
Tupe mrejesho mkuu,ulishasweka ndani au!?.Mimi ni Baba wa watoto wawili na Nina ndoa ya kukatoliki iliyodumu Kwa muda wa miaka mitano. Kwa ujumla mke wangu nampenda Sana maana no mke ambaye niseme waz kwangu nimepata.
Ananipenda kuliko kiwango. Ni mwanamke ambaye akikosea hajivungi kusema samahn lazizi.
Tukija upande wa pili wa huyu msichana mwingine. Ni wazi no mwanamke ambaye nimekuwa nae kabla hata ya mke wangu. Tunaishi nae nchi nyingine Sabab ya kibiashara Ila yeye ni mwajiriwa. Kuna kipind tulipoteana kama miaka miwili akapata mwanaume wakafunga ndoa ya boman Ila haikudumu hata mwaka Ila walizaa nae.
Ni mwanamke ambaye Kwa ujumla anasifa zote zile ambazo mke Hana yeye Amazon na sifa nyingine Hana Ila mke anazo.
Kiujumla nae nadiriki kusema ananipenda kuliko kiwango maana kuna mambo tumepitia kikawaida Kwa madada wenzetu wasingeweza. Katengwa na familia yake Kwa ajili yangu pesa yote analeta kwangu.anajua nimeoa kabisa na kipind naoa alinichangia.
Ishu inakuja kila napotaka achana nae naumia mara tatu mpaka nashindwa Fanya KAZI zangu.nishajaribu kumkimbia mwaka lkn moyoni nilijikuta narudi tena.
Kila napokuwa nae mambo yangu yanaenda vyema na mara zote anasisitiza niwatumie wanangu pesa na kuna muda anatuma zake mwenyewe Kwa wife kupitia western union wife anajua hi mfanyakaz wa benk Tu namwachiaga.
Nimejaribu njia zote naona nashindwa, Zaid moyon natamani Tu nifungue nae ndoa nae ya boman Kwa Sabab ni nchi nyingine na asije gusa Tanzania ili kumuondoa kwenye lawama na ndugu zake.
Ukwell huyu mdada kanizoa kabisa . Naomba ushaur Kwa waliowahi kutana na hii mambo mlifanyaje