Natamani kuongeza mke nami ni mkristu

Natamani kuongeza mke nami ni mkristu

M
Mkuu una dhida km yangu mi 10 yrs nina mtoto mmoja tu. Ila kila nikitafta wanawake napata ambao ni tegemezi kwangu, pia ni waschana wadogo 18-22yrs huwa nachukia ila age hii nawapenda coz huwa hawafek love. Ila wapigaji balaa, sipendi wanawake watu wazima 30+
Kwanini hupendi wanawake watu wazima
 
Waafrika kwa unafiki! Yesu ! Yesu! Mungu! Mungu! Utashangaa wote hao wanaojifanya wao ndo wachamungu sana kumbe na wenyewe ni wazinzi mbwa lakini hapa wanajifanya kuhubiri neno wasilofuata!!!

Mleta mada, learn all wisdom from contributors but do what pleases you! The only person you need to talk to about this is your wife, PERIOD!

Huwezi kuomba ushauri toka kwa watu ambao wengine wanaishi kwa shemeji zao na wengine ndo kwanza wapo shule!
 
Mimi ni Baba wa watoto wawili na Nina ndoa ya kukatoliki iliyodumu Kwa muda wa miaka mitano. Kwa ujumla mke wangu nampenda Sana maana no mke ambaye niseme waz kwangu nimepata.

Ananipenda kuliko kiwango. Ni mwanamke ambaye akikosea hajivungi kusema samahn lazizi.

Tukija upande wa pili wa huyu msichana mwingine. Ni wazi no mwanamke ambaye nimekuwa nae kabla hata ya mke wangu. Tunaishi nae nchi nyingine Sabab ya kibiashara Ila yeye ni mwajiriwa. Kuna kipind tulipoteana kama miaka miwili akapata mwanaume wakafunga ndoa ya boman Ila haikudumu hata mwaka Ila walizaa nae.

Ni mwanamke ambaye Kwa ujumla anasifa zote zile ambazo mke Hana yeye Amazon na sifa nyingine Hana Ila mke anazo.

Kiujumla nae nadiriki kusema ananipenda kuliko kiwango maana kuna mambo tumepitia kikawaida Kwa madada wenzetu wasingeweza. Katengwa na familia yake Kwa ajili yangu pesa yote analeta kwangu.anajua nimeoa kabisa na kipind naoa alinichangia.

Ishu inakuja kila napotaka achana nae naumia mara tatu mpaka nashindwa Fanya KAZI zangu.nishajaribu kumkimbia mwaka lkn moyoni nilijikuta narudi tena.
Kila napokuwa nae mambo yangu yanaenda vyema na mara zote anasisitiza niwatumie wanangu pesa na kuna muda anatuma zake mwenyewe Kwa wife kupitia western union wife anajua hi mfanyakaz wa benk Tu namwachiaga.

Nimejaribu njia zote naona nashindwa, Zaid moyon natamani Tu nifungue nae ndoa nae ya boman Kwa Sabab ni nchi nyingine na asije gusa Tanzania ili kumuondoa kwenye lawama na ndugu zake.

Ukwell huyu mdada kanizoa kabisa . Naomba ushaur Kwa waliowahi kutana na hii mambo mlifanyaje
Kitu cha kwanza. Don't be slave of catholicism. Hizi dini zililetwa mkuu na zina wenyewe. mimi mfano hai katika hili. Ni mkristo wa jina ila sifuati sheria zao na nimeoa wake wawili. Asikudanganye mtu dini hizi za kisasa zina ukakasi mwingi sana
 
Nakuelewa lakin logically SASA hivi ni uongo. Wendi wanacheat ni heri Tu ikawa ruksa kama waislam

Hatupaswi kuhoji Neno la Mungu bali kulitii na kulizingatia tu!

Kigezo cha kuwa wengi wanacheat wala usishangae maana imeandikwa :

“Njia iendayo upotevuni (motoni) ni pana nao waingiao ni wengi”

Kwa hiyo usishangae watu wengi kucheat hata Mungu alishajua hilo!
 
Kuna watu pia wapo kwenye ndoa na wengine wako mbali mbali kama wewe na mkeo na hawa cheat wala nini.

Kuna watu kutokana na malezi/makuzi yao na imani zao hawazini wala kufanya uasherati kabisa.

Na unamkuta yuko huru kabisa na anafurahia maisha na hana kasoro yoyote ya maumbile wala nguvu n.k
 
Wenzetu wazungu kwa mfano kupitia malezi yao na makuzi jamii zao zimekuwa katika misingi ya nidhamu ya hali ya juu katika mahusiano ya kimapenzi hata kama mtu siyo mwamini
Wazungu si wanafki
Usaliti kdg tu anakupiga chini
 
Aache kuufananisha Ukristo na mambo ya ajabu ajabu,how come wengine tupo single kwa kukosa wananwake wenye vigezo kisha yeye atake kumiliki wawili tena namba D
Kweli ni zaidi ya ushirikina huo
 
Kitu cha kwanza. Don't be slave of catholicism. Hizi dini zililetwa mkuu na zina wenyewe. mimi mfano hai katika hili. Ni mkristo wa jina ila sifuati sheria zao na nimeoa wake wawili. Asikudanganye mtu dini hizi za kisasa zina ukakasi mwingi sana
Zote za kanisani?
 
Kitu cha kwanza. Don't be slave of catholicism. Hizi dini zililetwa mkuu na zina wenyewe. mimi mfano hai katika hili. Ni mkristo wa jina ila sifuati sheria zao na nimeoa wake wawili. Asikudanganye mtu dini hizi za kisasa zina ukakasi mwingi sana
Thank you
 
Kweli ni zaidi ya ushirikina huo
Sio ushirikina wanawake mbona kibao, ishu tu ni Ile kuweza timiza haja zake ndogondogo hasa ngono na mahitaji muhimu, pia wanahitaji kudekezwa kitu ambacho nahisi Hilo Tu ndo nimeweza wamantain. Nawapenda wote kiasi kwamba nikitoka lazima wajisikia vibaya.
 
Wazungu si wanafki
Usaliti kdg tu anakupiga chini
Inategemeana na jamii, Ila wengi wao Wana itikadi kama zetu, sema tukioa au kuolewa kwao tunakuwa wadhaifu Sana kwao kiasi cha kupelekeshwa Kwa kiwango hicho
 
Kitu cha kwanza. Don't be slave of catholicism. Hizi dini zililetwa mkuu na zina wenyewe. mimi mfano hai katika hili. Ni mkristo wa jina ila sifuati sheria zao na nimeoa wake wawili. Asikudanganye mtu dini hizi za kisasa zina ukakasi mwingi sana
You nailed it mkuu
 
Back
Top Bottom