Sasa wewe ulizani wamama wenye 40yrs niwazee? Best Anko umepotea sio kabisa damu bado sasainawezekana kuna ukweli kwasababu hadi wamama wa miaka 40+ wanachepuka na vijana wadogo.
Utawajua tuwanaume wa dar bwana
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hapo ndio nashindwaga kuwaelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana wanabwabwaja ndoa ngumu wakati vitambi vinachomoza [emoji23][emoji23] acha nicheke mie
vipi mumeo ameanza kuchepuka au bado?Utawajua tu
Hapo hakuna kumsikiliza mtu nikutafuta anaye kufaa unaoa ukiwasikiliza watu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] hapo ndio nashindwaga kuwaelewa
Haaa haaa huyu mhenga mwenzangu hata kama anachepuka basi itakuwa ni kwa usiri mkubwa sana maanavipi mumeo ameanza kuchepuka au bado?
Once a baharia always a baharia
Ahsan'te mkuu[emoji30]Hongera sana
Ukiona katoto kanavuta bange unaweza kukakataza au kukaambia kasubiri kwanza kakue ndio kaanze kuvuta, hata kama wewe mtu mzima una vuta bangi kutwa mala tatuu kwa wakati huo... au hata kama mzee ana chapa nje, akikaa na watoto wake utakuta ana waonya juu ya upoga mizigo mizigo nje 😁😁😁
Kwani ulikuwa hujui?
[emoji3] [emoji3] nafikisha soon mkuu, nipe miezi tu, will be waiting for youu makandaa
Hao bar maids ulikuwa unachukua wa miaka 27 kurudi nyuma ?[emoji1787][emoji1787] mkuu mimi ninamiaka 27 nitafute mwanamke wa miaka 36+?
Mwanamke wa kuoa na kupata utulivu ni kuanzia 36+ na awe kazaa watoto au mtoto [emoji852]
Hahaaa, watoto wengi wa huyo mume au hata hawa wangu wenye kila mtoto na baba yake?, huko kwenu safi sana [emoji3]Kwetu ukiwa na watoto wengi ndio mahali inaongezeka
Hahaaa, watoto wengi wa huyo mume au hata hawa wangu wenye kila mtoto na baba yake?, huko kwenu safi sana [emoji3]
Yaani umenifurahisha sana kweli watoto ni Baraka na mtoto Wa mwenzio ni wako[emoji3] [emoji3] ,nakuja tuyajengeeHata hao wenye kila mtoto na baba baharia wake.