Natamani kuoa lakini...

Hata mie nimemuelewa sana huyu mwamba

Mpaka nimeshangaa kumbe 'wanaume' bado wapo duniani

Ni kweli kabisa mkuu ila ni wachache sana ambao tumebaki wengi wao wamekuwa ni mifano tu ya wanaume my loveliest one.
 
inawezekana kuna ukweli kwasababu hadi wamama wa miaka 40+ wanachepuka na vijana wadogo.
Tatzo sio kuchepuka ye achepuke tu ila ahakikishe tunaweka sawa maisha yetu, lakn kumpata mwanamke alye tayar kwa ku fight ni issue.
 
We masuala ya kuoa hayana ushauri amua utakavyotaka
 
Ndoa tamu mkuu me naona hasa ukimpata mtu sahihi.

Maana naona wenzangu wananenepa tu na kutoka vitambi. Wakati me bachelor nazidi kukonda huku stress haziniishi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana wanabwabwaja ndoa ngumu wakati vitambi vinachomoza [emoji23][emoji23] acha nicheke mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…