Ukiwa na familia tena nako ndio hvyo mara wife unasikia kavushwa, mara ndani unga umeisha, watoto wanadai nguo za shule salary 200000 ukienda kwa kanji ukidhani tim itashinda ili uongeze pesa unazibuliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila kuna muda ubachelor unaboa sana yaani unajihisi kabisa mtu umepungua. Yaani unajikuta tu unatamani ungekuwa na familia. mara uamke wife kanuna. Watoto wakusumbue sumbue.[emoji3][emoji3][emoji848][emoji848]
Ndoa tamu mkuu me naona hasa ukimpata mtu sahihi.Ukiwa na familia tena nako ndio hvyo mara wife unasikia kavushwa, mara ndani unga umeisha, watoto wanadai nguo za shule salary 200000 ukienda kwa kanji ukidhani tim itashinda ili uongeze pesa unazibuliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila ni kweli mkuu coz nilikaa na mwanamke kama wiki mbili hv aisee nilikuw mwembamba sana baada ya wiki nikanenepa aisee watu wakaanza kunishangaa, yaan nikitoka job tu nakutana na msosi, sijakaa sawa nakutana mara na maziwa yaan nilinenepa sasa nkachukua likizo nikamchukua na huyo mwanamke kila mmoja akapita kushoto sasa likizo imeisha narud kwenye maisha ya pekeyang sijui itakuaje tu.Ndoa tamu mkuu me naona hasa ukimpata mtu sahihi.
Maana naona wenzangu wananenepa tu na kutoka vitambi. Wakati me bachelor nazidi kukonda huku stress haziniishi.
Hawa changamoto zao ndogo sanaaa... ambazo zina kabilika, uwe tu uanjua kutiaa kisawa sawa, vijana wehu wehu wasije wakaja kukusaidi... unatamiwa ukimpiga hakikisha una mchoshaa haswaa, ukipiga mala moja asubuhi unahikikisha ume mpimia cha wiki hata kama jioni usipo ruka nae, bado kiu ya kunjinjwa inakuwa haipo πππ
Nimehangaika vyakutosha, nmesalitiwa vya kutosha nikaamua niingie katika umalaya sasa nikawa mimi na ma bar maid, bar maid na mm, nikawa mtu wa hit n run lakini kwasasa sion faida yake zaidi umri unasonga na ninahitaji kuwa na mke na familia kwa ujumla.
Shida inakuja hivi vibinti vya sasa vyenye umri wa miaka 18 mpaka 25 hivi ambavyo vinakula ujana bado wewe uviingizie suala la kuoa vinaweza kukuelewa lakini je' vitatulia na kufanya maisha? Kwan saiv unaoa mtu kwaajili ya maisha japo kuhitaji papuchi ni mhim pia [emoji25][emoji25][emoji25] Vijana wa sasa tunakazi na tutapata kazi bora wazee wa zamani.
Hapa nnaona bora kuishi mwenyewe [emoji42][emoji42][emoji42] , maana hv vitoto havitambui maisha hv ninaona kwa watu pia navutia picha.
Sasa je...[emoji23][emoji23][emoji23]Ukweli ndio huo mkuu
Ushauri konki kabisa, Uzi ufungwe na akitaka mwenye above 35 na mwenye watoto nipo hapa, nna watoto 3 tu[emoji3]Acha umalaya, kuna magonjwa kama Ukimwi na magonjwa ya ini.
Pia acha kulala na wanawake ovyo ovyo...
Kama unaogopa hao wadodogo wadogo.. tafuta mwanamke ambae amezaa watoto kuanzia wawili, hao huwa wengi wanakuwa wamekomaa na wanaamua kuishi maisha na age isishuke chini ya 35...
Uo mzeee ingia kwa ndoaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ushauri konki kabisa, Uzi ufungwe na akitaka mwenye above 35 na mwenye watoto nipo hapa, nna watoto 3 tu[emoji3]
Sure mkuu yaani Mungu hakukosea kutuletea hawa viumbe. Mabachelor wengii hii miili tuliyo nayo si yetu kabisa.[emoji3][emoji3]Ila ni kweli mkuu coz nilikaa na mwanamke kama wiki mbili hv aisee nilikuw mwembamba sana baada ya wiki nikanenepa aisee watu wakaanza kunishangaa, yaan nikitoka job tu nakutana na msosi, sijakaa sawa nakutana mara na maziwa yaan nilinenepa sasa nkachukua likizo nikamchukua na huyo mwanamke kila mmoja akapita kushoto sasa likizo imeisha narud kwenye maisha ya pekeyang sijui itakuaje tu.
ππππKweli kabisa. Mimi nashauri afike 32 kabisa. Saivi aendelee tu kubet
Nakufatilia kwa ukaribu na nakuelewa vizuri sana mkuu.