Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
970
Reaction score
2,360
Anaitwa Tajiri sina baya.

Mbali na wengi kuniita Malaya na kunitafsiri vibaya,sikuchukulia serious sana,niliona ni kawaida tu kwani hata mtaani watu huniambia nimekaa kimalaya yaani , wanaume wengi hujaribu bahati zao.mpaka pale mtu anapokata tamaa.

Ila nahitaji kuonana na tajiri huyu,
Kuna kauli alisema,oooh nimekataliwa hadi na marry?

Kwanza nikajiuliza kwani ananichukuliaje?

Tajiri karibu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom