Taured
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 805
- 697
Ugomvi kati ya mama na baba japo umekuathri lakini haukuhusu na wala huna sababu ya kuungilia mm nina imani hata mamako inawezekana alimtenda babako japo yy kakwambia tu babako ndo alikuwa na matatizo kama ingewezekana kuwakutanisha mama na baba ungejua mbichi na mbivu lakini haiwezekani na tabia yako ya kuchokonoa utakumbushia vidonda ambavyo vimekwisha pona! Mpaka baba asuse familia jua siyo bure, ushauri wangu fanya yako muheshimu km babako maana hata ufanyeje hutompata baba mwingine, kwa kuwa ww ni dume ipo siku utakuwa na familia ndo utajua kwa nn watu km design ya babako hufanya vile