Natamani kumpost...

Natamani kumpost...

Bi dada mapenzi kitu mbaya Ila 1. Mtoto wenu yuko kwake au kwako na ana umri gani tuanzie hapo
2. Vyovyote ilivyo hyo bado anakupenda ushauri wangu km na ww still unampnda na kwa faida ya mtt rudianeni.
 
We ni kilaza sasa hii post inalenga nini nadhani hyo mwanaume aliamua kukuacha kwa sanabu akili za kukushika hamna
 
Selina umeamua kunidhalilisha au sio?? Huyo uliyenae sio muoaji
 
Nyie ndo mnaowaletea single mothers mkosi, ushapata mwingine bado unamkumbuka mzazi mwenzio, rudi kwake
 
Back
Top Bottom