1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,969
- 13,848








Safi sana kumbe kuna wanawake mnajitambua umenivutia sana huyo mtoa post ni mtoto bado haelewiUsipende kushindana na mwanaume shost, mwisho wa siku itakula kwako.
Subiri ukiolewa ndio umuweke mumeo dp au umpost kokote unakotaka, maana huyo ni mali yako ya halali kabisa ila hawa bfs sio salama.
Akikua ataachaSafi sana kumbe kuna wanawake mnajitambua umenivutia sana huyo mtoa post ni mtoto bado haelewi
Kabisa lkn tukumbuke hata wajinga anazeeka pia na huyu sio mtoto maana ni mama tayariAkikua ataacha
Mahaba khantwe haujambo!
Kabisa lkn tukumbuke hata wajinga anazeeka pia na huyu sio mtoto maana ni mama tayari

Hahahaa akija kushtuka too late, atulie tu saivi alee mtoto wake asijiongezee stress zingine.Kabisa lkn tukumbuke hata wajinga anazeeka pia na huyu sio mtoto maana ni mama tayari
Weka emoji kuanzia mbili au tatu tuone ulivyonyegeka zaidi sasa hapo unacheka unalia.
Yaani wewe huwa unaishia kuniita mchumba jukwaani tu...sawa tu.
Hahahaa akija kushtuka too late, atulie tu saivi alee mtoto wake asijiongezee stress zingine.

Dada uko mkali mpaka unatisha yaani![]()

Nikija unajitia hutaki nikuite hapa tu wakati nikija piemu unananikimbiaYaani wewe huwa unaishia kuniita mchumba jukwaani tu...sawa tu.