Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 60,933
- 124,019
Aisee,tena bata mzingaUna akili za bata
Hapa hakuna mwanamkeWeka emoji kuanzia mbili au tatu tuone ulivyonyegeka zaidi sasa hapo unacheka unalia.
Kaangalie moto unavyowaka huku...[emoji16][emoji16][emoji16]
Vipi lakini za siku.Nikija unajitia hutaki nikuite hapa tu wakati nikija piemu unananikimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani ana kukimbiza uko? Andika kwa kuzingatia alama za uandishi itapendeza
Yaani JF imekuaje sijui sasa nini hikiHahahahaha wanatuchoshaa
[emoji16][emoji16][emoji16] huo uzi nauona hata kusoma sijasoma, nikishaona uzi unakimbia kwa speed ya jet nakaa mbali kidogo. Hata hivyo hili sio jibu la ombi langu [emoji124][emoji124]Kaangalie moto unavyowaka huku...[emoji16][emoji16][emoji16]
Can you date a guy without asking him for Money?
Unataka nitie neno
[emoji23]Samahani dada
Nzuri...sema kukumiss tu....siku haiishi bila kukuota.
Samahani dada
Ndo unanicheka eeh, sawa😃[emoji23]
Pole. Naona umetukanwa tu bila sababu yo yote. Umeomba na msamaha masikini. I feel you and thanks for taking the higher road [emoji1545]Samahani dada
Asante best, ndo changamoto maishaPole!
Asubuhi yote hii!