sasa mkuu do u think kwrl utapata mwwnamke wife material kwenye social network au unabahatisha?
sasa mkuu do u think kwrl utapata mwwnamke wife material kwenye social network au unabahatisha?
kwan umeshaanza kazi? na mshahara upo vipi?
Acha longo longo sema mshahara wako sh. ngapi maana kama ni urefu hata nyoka anao!nina miaka 27, nina degree moja! baada ya kuumizwa sana x wangu na kupona, ni wakati mwafaka kwangu kumpata mwingine! kwa msichana ambaye yupo serious aliye tayari tuwe na mahusiano ya kweli yenye malengo. nitampenda kwa moyo wangu wote, nitamjali wala sitomwumiza! pia ategemee maisha tutayaanza pamoja! napenda mrefu, (mm ni mrefu 182cm). anipm
Acha longo longo sema mshahara wako sh. ngapi maana kama ni urefu hata nyoka anao!
Haahahhahaha sorry nilikua nasinzia
Kwenye urefu mbona hapo umepata F??? Hebu simama
huchelewi
Sichelewi nini?
hahahaha usingizi wako unakuja vibaya
Hapa kasimama sasa, sema jingine....
![]()
heheiya pondiboy
Ha ha ha charminglady hapo nakumbuka tulikuwa tumetoka picnic...Huyu ni Evelyn Salt? Kumbe kaongezeka kidogo, zamani alikua kama hiyo chupa
Akinifaa najiokotea almasi mchangani mie....kupata data zaidi ili ujue ka anafaa au lah
Huyu ni Evelyn Salt? Kumbe kaongezeka kidogo, zamani alikua kama hiyo chupa
Acha longo longo sema mshahara wako sh. ngapi maana kama ni urefu hata nyoka anao!