Natamani kumpata wa kweli

Natamani kumpata wa kweli

pondiboy

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
81
Reaction score
29
nina miaka 27, nina degree moja! baada ya kuumizwa sana x wangu na kupona, ni wakati mwafaka kwangu kumpata mwingine! kwa msichana ambaye yupo serious aliye tayari tuwe na mahusiano ya kweli yenye malengo. nitampenda kwa moyo wangu wote, nitamjali wala sitomwumiza!
pia ategemee maisha tutayaanza pamoja!
napenda mrefu, (mm ni mrefu 182cm). anipm
 
Ngja kuna beki tatu wetu ntakupa no zake...ni mpole..mstaarab...nakumbuka last tym aliniambia anapenda mvulana mwenye cm km zako..tebe
 
sasa mkuu do u think kwrl utapata mwwnamke wife material kwenye social network au unabahatisha?
 
nina miaka 27, nina degree moja! baada ya kuumizwa sana x wangu na kupona, ni wakati mwafaka kwangu kumpata mwingine! kwa msichana ambaye yupo serious aliye tayari tuwe na mahusiano ya kweli yenye malengo. nitampenda kwa moyo wangu wote, nitamjali wala sitomwumiza!
pia ategemee maisha tutayaanza pamoja!
napenda mrefu, (mm ni mrefu 182cm). anipm

kwan umeshaanza kazi? na mshahara upo vipi?
 
Mimi jina lako tu limenirudisha nyuma...
 
Back
Top Bottom