Natamani kumpata wa kweli

Natamani kumpata wa kweli

Mchuchu una degree ya nin??account yako inasema!si unajua cash rules evrythng?hahahah
 
nina miaka 27, nina degree moja! baada ya kuumizwa sana x wangu na kupona, ni wakati mwafaka kwangu kumpata mwingine! kwa msichana ambaye yupo serious aliye tayari tuwe na mahusiano ya kweli yenye malengo. nitampenda kwa moyo wangu wote, nitamjali wala sitomwumiza!
pia ategemee maisha tutayaanza pamoja!
napenda mrefu, (mm ni mrefu 182cm). anipm



Jina lako mkuu limenikumbusha mengi sana, Bila shaka na wewe ni Mpugu boy. Pondi nimeoga sana maji yake yale.
 
Hiyo ndo jf usitegee userious hapa....na hata darling usidhani utampata wa serious

Yeye mwenyewe hayuko serious,si aende Love connect na Tape measure yake akapime centimeter za wadada wenye uhitaji kama yeye awa PM?
 
Bado nataka nione couples zilizooana toka humu JF
 
Yeye mwenyewe hayuko serious,si aende Love connect na Tape measure yake akapime centimeter za wadada wenye uhitaji kama yeye awa PM?
hahahhhah twin umenivunja mbavu hadi na TAPE? hahhahahah....
 
unafanya kazi gani? kipato chako? nijulishe kbla sijaja huko PM
 
Back
Top Bottom