MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,247
Acha kukatisha tamaa watu, km huna jibu nyamaza tu, sio lazmaKwa ku-post hili swali jamii forum umeshafeli. Tafuta kazi nyingine
Acha kukatisha tamaa watu, km huna jibu nyamaza tu, sio lazmaKwa ku-post hili swali jamii forum umeshafeli. Tafuta kazi nyingine
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huwa hatuchukui watu wa aina yako! Usirudie kusema hatuna chuo cha mafunzo! Huwezi ukajua mpaka siku tutakayokuteka ndiyo utaamini kama tuna chuo cha mafunzo!
Nilijua unatafuta mmoja mfundishe adabu.....nikusaidieHabari wakuu,
Kwa muda mrefu nimekuwa naipenda sana kazi ya Usalama wa Taifa. Ingawa najua kila mtanzania mzalendo ni Usalama wa Taifa lakini mimi naitaka kazi hii kwa urasmi kabisa.
Awali nilihisi kuna chuo cha mafunzo ya kusomea Usalama wa Taifa lakini baada ya kufanya utafiti na kuendelea kuwa na kiu kwa kazi hii, nimegindua hakuna chuo cha namna hiyo. Ndio maana leo nimeona nilete hoja hii ili nipatiwe msaada na maelekezo.
Naomba kuwasilisha!
huyo mleta Mada ndio zake akikolea kiroba kilichopigwa marufuku. Aende akamuulize aliyemuuzia viroba vilivyopigwa marufuku na amwendee akiona kalewa viroba na yeye atamwelekeza si namna Ya kujiunga na TISS bali hata na CIA chap chapNenda hapo ktk kota zao unapopajua kawaambie wakupe process...
Mwalimu upo??Kazi ya kuteka na kutesa watu?mmh
Kwa staili aliyekuja nayo katukosa aje kivingineLijamaa linaleta Mada chokozi ili ku assess raia wanajua nn au wanamtazamo gani kuhusu tiss[emoji3][emoji3][emoji3],Sasa wewe ropoka makubwa utafutwe,max anakunawa tu kama hakujui kwa kutoa data zako.
Umebugi sasa kamq unawajua kwanini usiwafate huko kwenye kota zao na kuwauliza sasa umeleta hoja humu wakati watu unawajuaNi ya siri kwa vipi? Mbona watu wa usalama wa taifa tunawajua na wanaishi pale Kijitonyama kwenye kota zao.
njoo nyumbani kwanguKama kuna yoyote anaweza kuniunganisha naomba msaada, au ani-PM kunipa maelekezo.
kwa ulicho kiandika hata wewe unaitamani hiyo kazi!!!Kwann mnapenda kutuchunguza sana sisi watu wa TISS?
Kuwa na adabu, usije kuja kulia hapa.
Ishia hapohapo.Kukutafuta ni kazi ndogo sana.
Ilikuwa zamani. Siku hizi wanapeleka ofisi za ccm wilayaHiyo kazi huombi wao ndo wanakutafuta kulingana na vigezo wanavotaka ni tetesi tu
Kwanza kwa tangazo lako hill, umeshapoteza sifa ya kimsingi ya Kazi husikaHabari wakuu,