Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,080
- 10,436
Dah.... Uzuri wa kazi ya jeshi ukiisha ipenda tu utaiweza kirahisi sana...ila ni vizuri zaidi ukaingia na ujuzi mwingine...itakuwa poa sana[emoji13] [emoji13]Wakuu,
Ninatamani kujiunga na jeshi la Tanzania. Especially JKT au Hata JWTZ. Vigezo kwa wasichana inakuaje??
Msaada tutani