Natamani kujiunga na jeshi

Natamani kujiunga na jeshi

Kaka ndo wewe hapo kwene deep yako jiandae kuliwa kila siku jeshini hata paredi we hutohusika
 
Usiwe mtu wa kupenda sana upendeleo kwa sababu ya jinsia yako, utaumia! Kama unahitaji kitu kifatilie kwa nguvu na akili zako zote sio kutegemea jinsia, utaumia... Nasema utaumia!
Kwahyo Kama mm n msichana niulize kuingia jeshini kwa wakaka?? It can't holds water. We Kama huna la Ku comment chukua time lala mbele
 
Kwahyo Kama mm n msichana niulize kuingia jeshini kwa wakaka?? It can't holds water. We Kama huna la Ku comment chukua time lala mbele
Sio ishu sana, nimekupa ushauri utakaokusaidia!
Kama utaupuuza haya!
 
watu wengine jmn wanadegree za kukatisha tamaa sio bure
 
Okay sawa.. kama ndo ivo inabidi uwe na mtu wa karibu alieko kikosini ili wakitoa izo App uweze kuapply mapema
 
Sio ishu sana, nimekupa ushauri utakaokusaidia!
Kama utaupuuza haya!
Na mm nmekupa jibu litakalokufanya ufikiri kabla ya kuandika usilolijua. Next time jus take some water and save your breath if think u about to write some trash on serious things.
 
lazima uwe name afya njema
miguu iliyonyooka.
unaona vizuri,unasikia vizuri nakadhalika...
uwe tayari kutokulala week6
kila utakachoambiwa wewe no yes sir. hakuna hapana.
mengineyo magumu utayakuta huko huko
 
Ulipitia JKT?
Kama hukupitia basi itakupasa uanzie hapo.
Kama umepitia,ni mujibu au kujitolea?
Tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom