Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,976
Picha ya kujiua?? HahahahahaWeka picha tafadhali
AminaKuwa mpole mzee afu acha pombe wakumbuke ndugu zako hasa mama utafanikiwa
AminaMkabidhi bwana Yesu kristu maisha yako ndugu, furaha ya kweli ni ile yenye amani ya bwana
Asante Kwa UshauriUnapaswa kutambua chanzo cha yote ni nini? Nn sababu ilikupelekea uwe mlevi? Usiwe na mahusiano mazur na mama yako na hayo mengine
Rudi kamuombe mama yako msamaha, muangukie na msamaha wako uwe n wenye kumaanisha
Punguza pombe taratibu hatimae utaweza kuacha kabisa huku ukiwa umedhamiria moyoni mwako,
Usijiue kujiua sio suluhisho wala
Asante kwaniaba yake nimependa ushaur wakoUnapaswa kutambua chanzo cha yote ni nini? Nn sababu ilikupelekea uwe mlevi? Usiwe na mahusiano mazur na mama yako na hayo mengine
Rudi kamuombe mama yako msamaha, muangukie na msamaha wako uwe n wenye kumaanisha
Punguza pombe taratibu hatimae utaweza kuacha kabisa huku ukiwa umedhamiria moyoni mwako,
Usijiue kujiua sio suluhisho wala
Amina NashukuruMnao shauri ajiue mnadhani yeye atapata maumivu ya kifo, walio baki ndo wataumia ama kwa kuwa hamuwafahamu mnaona ni sawa tu jamaa akate moto.
mkuu relax mcheki maza na urudishe mahusiano vzr, acha wazo la kujua. haya yanatokea katika maisha punguza gambe mdg mdg mambo yataenda poa. kila la kheri kwako.
UbarikiweNenda ukamuombe mama msamaha
Hayo majaribu unayopitia nikwasababu hkuna amani kat yako na mama yko ule uchungu alio anao mama yako unapelekea ww kusukwa na balaa na hasara
Kumbuka mama ni mungu wapili duniani ukiwa na amani na mama yako atakuombea mema na baraka
Pia uwe unamjali mama yako unamtumia ht tumizi kumbuka mateso aliyopata wakati anakulea ww
Bye
Amen tubarikiwe woteUbarikiwe
Amina! UbarikiweNenda ukamuombe mama msamaha