Natamani kuitwa mama

Niko vizuri katika kutia mimba. Siku moja tu ya kujamiiana na wewe inatosha kabisa kukupa ujauzito
 
Yap umenigusa. Nawachukia watu wanaogeneralize maisha yao kuwa maisha ya kila mtu....kwa sababu wewe ulizaliwa kwa bahati mbaya baada ya mama yako kujaribu kukuchoropoa mara kadhaa basi unahisi hayo ndo maisha ya kila mwanamke unakosea sana
Ndiyo mana elina lyako ulikhantwe yaani kakichwa kadogo na ubongo wake mdogo haujai hata kwenye kizibo cha soda
 

ni pm tafadhali nikutimizie hitaji la moyo wako
 
Hivi watu wa hum mbona mna midomo michafu sana? Mimba alizochoropoa ulimpa wewe au wewe ndo ulimchoropoa? Hebu kuwa na adabu umezaliwa na mwanamke wewe
unakunywa kinywaji gani dear?
 
***TANGAZO***TANGAZO*** GH CHILD GIVING COMPANY inayofuraha kukujulisha mteja kuwa inatoa au inakusaidia kupata mtoto kwa bei nafuu sana .tunapatikana misungwi,MWANZA .
 
Ila mtoto raha sana,yani hapa Nina katoto ka kaka yangu nikikababe najihisi kama nimebeba mtot wangu Wa kumzaa mwenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…