Natamani kughairi kuolewa kwasabb ya best-man

Tafuta peni mpya,karatasi kam NNE ivi ,stop watch ntakuazima Mimi ili uanze mtihani wako
Majibu utapata nikishasahisha
 
Na huyo best man ukianzana nae na ukamtema mchumba wako, wakati wa harusi yenu utamtamani tena best man wa best man, utahairisha tena.
 
Hongera
Hongera sana
Wanajamvi, ndoa yangu imepangwa kufungwa mwanzoni kabisa mwa mwezi ujao.

Jana, mume wangu mtarajiwa alinipeleka sehemu kwa lengo la kunitambulisha best-man (BM) wake.

Tangu macho yangu yalipotua kwa BM huyo akili na mwili wangu vimejaa ganzi. Sijisikii kabisa kuendelea na mipango ya harusi na mume wangu mtarajiwa.

Kwasabb BM huyu amesheheni sifa ambazo hakika ndizo ninazo zihitaji kwa mwanaume.

Nadhani nililazimisha kumpenda huyu mune mtarajiwa, lkn kwa huyu BM penzi limechanua kwa hiari.

Naombeni ushauri wenu, nifanye nn kuuvuka mtihani huu?
 
Anaona facebook hapa
Leo umetoa dushe na kuotesha papuchi. Sijui una matatizo yepi mpaka nyuzi zako mara uwe ME mara KE.

  • Thanks
Reactions: BAK
Leo umetoa dushe na kuotesha papuchi. Sijui una matatizo yepi mpaka nyuzi zako mara uwe ME mara KE.

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 bisexual uyo labda
 
Wanajamvi, ndoa yangu imepangwa kufungwa mwanzoni kabisa mwa mwezi ujao.

Jana, mume wangu mtarajiwa alinipeleka sehemu kwa lengo la kunitambulisha best-man (BM) wake.

Tangu macho yangu yalipotua kwa BM huyo akili na mwili wangu vimejaa ganzi. Sijisikii kabisa kuendelea na mipango ya harusi na mume wangu mtarajiwa.

Kwasabb BM huyu amesheheni sifa ambazo hakika ndizo ninazo zihitaji kwa mwanaume.

Nadhani nililazimisha kumpenda huyu mune mtarajiwa, lkn kwa huyu BM penzi limechanua kwa hiari.

Naombeni ushauri wenu, nifanye nn kuuvuka mtihani huu?
Nafikiri unataka tu kupiga story na watu humu ila kama ulichoandika ni kitu serious ndivyo kilivyo basi wewe una tatizo kichwani mwako na unahitaji tabibu wa maswala ya akili na kujitambua
 
Hii ni very possible siwezi kumlaumu mtoa mada, jaribu kufukiria vyema ufanye maamuzi sahihi ndoa haipaswi kuwa jela inapaswa kuwa sehemu unayoifurahia!
 
unapenda sana kujibadilisha jinsia hivi una tatizo gani wewe mbona hueleweki na story zako za kutunga unatamani uwe yupi sasa demu au man? au both
 
E
Leo umetoa dushe na kuotesha papuchi. Sijui una matatizo yepi mpaka nyuzi zako mara uwe ME mara KE.

Sexless
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom