Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,590
- 18,510
Ningetoa neno la ushauri hapa ila sitaweza kwa sababu mhusika ni sexless
Takwimu zinaposema vichaa ni wengi usidhani wanatania. Mifano hai ndio kama huyu sexless.Leo umetoa dushe na kuotesha papuchi. Sijui una matatizo yepi mpaka nyuzi zako mara uwe ME mara KE.
![]()
Njia ipi nitumie "kumnasa" huyu mtoto wa kibosile? Nimtie mimba au "nimteke"?
Asalaaam wanaJF. Naombeni mawazo yenu ktk hili. Nimetokea kumpenda mtoto wa kibopa a.k.a kibosile fulani hapa mjini, lkn tatizo imekuwa ngumu kumuoa. Kwasabb wazazi wake wanataka aendelee na masomo ya uzamili baada ya kuhitimu shahada yake ya kwanza mwaka Jana. Hivyo wazazi wa binti huyo...www.jamiiforums.com
Wanajamvi, ndoa yangu imepangwa kufungwa mwanzoni kabisa mwa mwezi ujao.
Jana, mume wangu mtarajiwa alinipeleka sehemu kwa lengo la kunitambulisha best-man (BM) wake.
Tangu macho yangu yalipotua kwa BM huyo akili na mwili wangu vimejaa ganzi. Sijisikii kabisa kuendelea na mipango ya harusi na mume wangu mtarajiwa.
Kwasabb BM huyu amesheheni sifa ambazo hakika ndizo ninazo zihitaji kwa mwanaume.
Nadhani nililazimisha kumpenda huyu mune mtarajiwa, lkn kwa huyu BM penzi limechanua kwa hiari.
Naombeni ushauri wenu, nifanye nn kuuvuka mtihani huu?
Akaombewe au akaongezewe mapepo?Utakuwa una pepo la ngono wewe nenda kwa mwamposa ukaombewe