Natamani kufa

Status
Not open for further replies.
Kuna wanaume kama mabinti ugomvi wa wanawake na nyie mnachombeza vimaneno vyenu wanaume hapa naona umbea wa kike piteni kushoto
 
Hahahaaaaa, ntamuuliza halafu ntakupm shost.
Halafu tutapika nini msibani, pilau au wali mweupeeee? Nimemiss msosi wa shughuli.....!

Pilauuu la nyamaa na kachumbarii si unajuaa msosi wa kwenye shughuli balaaa usisahau kuja na mayonaise aiseee
 
Picha tamuu hebu rusha yakoo haki ya mamaa nna kaka yangu hb halfcast anataka kuoaaa hebu rushaa picha yakooo

Hehehhehehehehhhe mie mchumba wa mtu nakupa ya eve akiwa kimboka wallah
 
Usijali shem, hawatofikia huko... mie na ugomvi mbali mbali... nafurahisha baraza tu hapa...

njoo bas tukae wote hapa tuchungulie mwisho wa huu mtanange. Si ulisema utanifundisha umbbea?? Hahahahaaa
 
Kuna wanaume kama mabinti ugomvi wa wanawake na nyie mnachombeza vimaneno vyenu wanaume hapa naona umbea wa kike piteni kushoto

Hawajielewi hawajui tumefahmiana vipi wengne wanarukia tu duh
 
Hahahahahahhahahahahaaha ntakupm picha yangu huyu eve nlisom nae anaishi kwa shangazi yake mbagala rangi 3 anajiuza kimboka sy typ yangu anapenda kujilinganisha na mie tell her to stay back wth me!

Hebu nipm namba yakee mbonaa anaishii Mwanzaa huko mbagala kafikajeee au wapo Eve wawiliiii etiiii
 
Pilauuu la nyamaa na kachumbarii si unajuaa msosi wa kwenye shughuli balaaa usisahau kuja na mayonaise aiseee

Usijali shosti, halafu ngoja nimuulize anataka tuvae madera ya rangi gani.....!
Eti Da' umukagame tuvae madera ya rangi gani msibani?
 
Last edited by a moderator:
Hebu nipm namba yakee mbonaa anaishii Mwanzaa huko mbagala kafikajeee au wapo Eve wawiliiii etiiii

Mwanza huwa aenda kutafuta mabuzi kwa shangazi yake ni mbagala rangi 3 au nkupelekeif ur free ndo anaishi hapo
 
Hebu nipm namba yakee mbonaa anaishii Mwanzaa huko mbagala kafikajeee au wapo Eve wawiliiii etiiii

Naona upo makiniiiiiiii

Ngoja nkae nyuma yako!!!! labda tutapa tupicha japo tumoja tuu
 
njoo bas tukae wote hapa tuchungulie mwisho wa huu mtanange. Si ulisema utanifundisha umbbea?? Hahahahaaa

Shem nikwambie heee.. leo kungekua na wajeda humu ningewasupport tu kutumia nguvu hahahaaaaa...
 
Parapandaaa italiaaa parapandaa italiaaaa naee omukagamee atakua keshanyakuliwaaa kwenda jehanamu ....

Nina bendi Yang ya kulia kwenye misiba wanalia kwa kila aina ya saut na hizi nyimbo watamwimbia atuambie msiba upo wapi
 
Usijali shosti, halafu ngoja nimuulize anataka tuvae madera ya rangi gani.....!
Eti Da' umukagame tuvae madera ya rangi gani msibani?
Coz ya eve sijiui mchumba simuachi nataka apelekwe milembe coz anataka kuchanganyikiwa kisa mkaka wa watu!ntamuacha nkipeda nmesitisha kwanza ila hanioi
 
Last edited by a moderator:
Coz ya eve sijiui mchumba simuachi nataka apelekwe milembe coz anataka kuchanganyikiwa kisa mkaka wa watu!ntamuacha nkipeda nmesitisha kwanza ila hanioi

Sasa shoga mbona unaghairi ghafla hivyo, hapa mwenyewe nlikuwa nshapiga mahesabu ya kuchukua tenda ya madera.
Yani nlipanga kesho lukwili ningedamkia Kariakoo kutafuta sare. Uwe na msimamo bwana na maamuzi yako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…