masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,802
- 16,829
Hahahhahahaha eve ndo anakaa mbagala rangi 3 siyo mie jaman alafu ukimkosa huko huwa afua mashuka pale rombo green view hoteli
Weeeeeee usitake kuniweka rohooo... najifanya kama sikuoni vileee...
Jamani mtanange ndo umeisha loh picha hatujaona wala namba msirudie tena
najipendekeza tu jamani naomba tuongozane lol!
Mkifika pale kwa bi meno nyumba ya tatu mtaona banda la njiwa ndo nipo hapomimi kesho sina kazi na natamani kuzunguka ,bagala sikujui nitapata mayai ya kienyeji uko????naomba unipeleke kwa kina evelyn kwan yeye mwenyewe anajua nampenda,nilipanga kumfata mwanza kumbe yupo hapo mbagala kwsho twende,au why usiweke namba kama picha uweki honey??maana si busara kumfata mtu bila taarifa au nakosea?
atupe namba au picha kama alivyosema sasa sisi tutaendaje embu mshawishi maana mimi kachomoa
watu wana hila looh kukutoa mwanza jiji safi mpaka mbagala tena usiku huu watu wabaya jamani Dinazarde jamani evelyn salt kaamishiwa mbagala usiku huu
naona tour guide kala kona ukimuona kunako thread zingine muambie tuko wengi taratibu za usafiri plz??
Aisee uvae diraaa tutasutaaa hadi maitiiii
ni nani anayepaswa kuwacontrol watoto wa kike?
Na mie nashangaaa kutoka rock city jiji la hewaaa mpakaaa mbagaraaa makubwaa nimeamini eve ni jiniii
Heee tushamuvuzishwaaa
Mkifika pale kwa bi meno nyumba ya tatu mtaona banda la njiwa ndo nipo hapo
dina anapajua vizuri
Nimehamia kikazi ha ha ha ntarudi
Mkifika pale kwa bi meno nyumba ya tatu mtaona banda la njiwa ndo nipo hapo
dina anapajua vizuri
Ndani ya madira msiache kuvaa pensi make huu upepo he.....Shoga we acha tu, wamalizane bwana sie tuendelee na mipango yetu ya msiba.
Halafu nimeikubali hiyo idea ya dera la purple. Mkija msibani mje na hela ya dera kabisaaaaa, mkopo sitakiiiii!
ngoja nimtafute atoe ratiba mapema si unajua kesho j'mosi, tuwai kurudi!
Ombi maalum hili bhana niache kwanza nikamate fursa, kwa huyu marehemu mtalajiwa.