Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,171
- 18,881
Kwanini umefikia hatua hiyoKuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli
I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Ni kweli kabisa yani unajiona fulani anapesa inauma.Mitandao pia inachangia sana, vijana wengi tunapenda kulinganisha maisha yetu na watu wa mitandao, hapo lazima upate stress mana unajilinganisha na maigizo
That sentence indicates he has had several attempts which failed and he hopes this one will not fail! May God Almighty interveneI don't wish to see 2023 hope this one will not failed! (Fail)
Zingatieni hiyo tamati yake! Imebeba ujumbe muhimu mno na pengine kufikia sasa hatunaye!
Msimbeze watu wanapitia magumu mengi na hawana msaada
That sentence indicates he has had several attempts which failed and he hopes this one will not fail! May God Almighty intervene
Jiulize ndoto ulizo zipanga nan atazitimiza kila mtu anapitia changamoto furah kwa asilimia hata moja ya mafanikioKuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli
I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Kuolewa au kuoa kunasaidia sana...unapata mtu mnashare nae hard tyms..nawashauri muolewe na kuoa.
Kumbe wewe unazuga na hujaamua kufa ndio maana unashindwa kujirusha darajani au kunywa sumu..Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli
I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
'Mjue Sana MUNGU ili uwe na amani ndipo mema yatakapokujia'Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife
Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife
At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli
I don't wish to see 2023 hope this one will not failed
Amina..mkuuHongera sana kwa ushauri mzuri, pia endelea kumtunza Shemeji ipasavyo Mama la Mama Kalpana.
Wale wanaochukulia ndoa ni uwanja wa mapambano au wale waliokariri ndoa zote ni hell hawawezi kunielewa hapa..ila the first comforter kwangu ni Mungu wa pili ni husband wangu..kuna wkt hata ndugu huwa wanakukimbia upitiapo magumu ila ukiwa na familia imara wao ni wafiriji..Nahisi kama una point fulani ingawa wengi watabeza
Ukaweza ukaona pesa ndo kila kitu hadi unapoikosa unaona maisha hayana thamani..lakini nikwambie ukweli afya njema ni kila kituKuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife