Mkuu ila unatania si eti? Najuwa huwezi chana vyeti hata kama una hasira kama za mkurya.......Jamani mwenzenu tangu nimegraduate 2011, B.A Community Development, tena nina GPA nzuri tu, na ni mtu wa kujituma, lakini sijawahi pata ajira mahali popote, NGOs ni nyingi lakini sijawahi hata kuitwa kwa interview katika NGOs zote nilizoomba. Japo naendelea kupambana na maisha ktk nyanja za kilimo na ufugaji lakini duuuh nikiwaona wenzangu wapo makazini (tena wengine nilikua nikiwabeba kwenye group assignments) napata shida nafsini mwangu to the extent that natamani kuchana vyeti vyangu vyoote nikae kama vile sikuwahi kwenda shule kabiiisaaaa!
Kuna wakati nilitembea maofisini katika ofisi ambazo nafahamu fika wanafanya shughuli zinazohusiana na maendeleo ya jamii nikiomba kujitolea buuureeee kabisa, nauli yangu, lunch yangu, wao wanipe kazi tu niwe nazifanya, tena nitazifanya kwa moyo, lakini sikupata hata pahala pamoja! nina mapenzi makubwa sana na profession yangu lakini sasa navunjika moyo, najiuliza nini kinasababisha nisikubaliwe hata pale ninapokua tayari kufanya kazi bure (Volunteering), nimefunga na kuomba kwa kila hali, sasa nimebaki kuhangaika na nafsi tu, nawaza kuchana vyeti vyangu vyote, na mabaki niyachome moto, iwe habari yangu ya shule imeishia hapo!
Ebu ingia Pm nimekutext! ila usijekusahau kuleta mrejesho.Ahsante kwa kunitia moyo! Lakini mmmmhhh only God knows!
My dear mm naona kinachokusumbua ni kwamba hujakubaliana na hali. Dream yako Ilikuwa kuajiriwa na ndo maana mpka leo huja giv up. Em jrb kukubaliana na hali.. unajua usipokubali kwamba hiki kitu kimetokea n yu have to move on, trust me hutokuja kufanikiwa. Kwasbb chochote utakachotaka kufanya huwez kufanya kwa moyo wako wote kwasbb una matumaini kuwa ntaitwa kazini kwaivyo sitofanya tena hii kazi. Jinsi unavyozidi kuwaza kuhusu vyeti ndivyo unavyozidi kujicheleweshea maendeleo. Let it go afu ufanye vtu vingne kma ndo kitu unachofanya with your whole heart. Utakuja kushangaa mwenyew mda wwte utaitwa kazini lakini pia mambo ya ufugaji na kilimo yatakuwa yamekaa mahali pazuri. Na hta usipoitwa kazini utakuja kushangaa kilimo na ufugaji kitakavyokuingizia hela ambayo hata wakikuita kazini hawawezi kukuoffer as salary. Believe me you have to move on and accept kilichopo in your life. Hyo degree yako unaweza kushangaa utakuja kuitumia katika community development zinazohusu kilimo na unaweza ukawa entrepreneur ambaye everyone anataman aje ajifunze kwako.Jamani mwenzenu tangu nimegraduate 2011, B.A Community Development, tena nina GPA nzuri tu, na ni mtu wa kujituma, lakini sijawahi pata ajira mahali popote, NGOs ni nyingi lakini sijawahi hata kuitwa kwa interview katika NGOs zote nilizoomba. Japo naendelea kupambana na maisha ktk nyanja za kilimo na ufugaji lakini duuuh nikiwaona wenzangu wapo makazini (tena wengine nilikua nikiwabeba kwenye group assignments) napata shida nafsini mwangu to the extent that natamani kuchana vyeti vyangu vyoote nikae kama vile sikuwahi kwenda shule kabiiisaaaa!
Kuna wakati nilitembea maofisini katika ofisi ambazo nafahamu fika wanafanya shughuli zinazohusiana na maendeleo ya jamii nikiomba kujitolea buuureeee kabisa, nauli yangu, lunch yangu, wao wanipe kazi tu niwe nazifanya, tena nitazifanya kwa moyo, lakini sikupata hata pahala pamoja! nina mapenzi makubwa sana na profession yangu lakini sasa navunjika moyo, najiuliza nini kinasababisha nisikubaliwe hata pale ninapokua tayari kufanya kazi bure (Volunteering), nimefunga na kuomba kwa kila hali, sasa nimebaki kuhangaika na nafsi tu, nawaza kuchana vyeti vyangu vyote, na mabaki niyachome moto, iwe habari yangu ya shule imeishia hapo!
Amen amen!Na iwe hivyo mbele za Bwana wetu Yesu Kristu na mbele za Mungu Baba!
Amina, ubarikiwe kwa kunitia moyo!Mungu anakuwazia mema mawazo yako sie yake kila jambo na wakati wake nilitamani kuoa tangu miaka ishirini iliyopita nimekuja kuoa miaka ishirini kupita, usikate tamaa jipe moyo IPO siku utakuja kuitwa ukaanze Kazi katika sehemu hizo hizo ulizotuma CV sababu baadhi ya ofisi huwa hawatupi kumbukumbu.Mifano hai kuna Dada alimaliza degree ya HR kazunguka miaka mingi kusaka ajira Bila mafanikio akiona wenzake aliowaacha vidato vya chini wako mbali kimaisha wanafamilia,wanajimudu kimaisha,nk kazunguka kwenye misaada mbali mbali ya kiroho hadi Kwa waganga kamaliza Bila mafanikio kafanya interview kila sehemu akawaza sana hadi kafika mwisho akaona vyote havina thamani akiona bora afe akanywa sumu siku ya tatu waende kuzika kaletewa barua inatakiwa ajiandae jumatatu Asubui aende akasaini contract ya Kazi ya HR kwenye ofisi kubwa yenye package na marupurupu kibao lkn ndo hivo washazika jana muhusika.Hivo mfano umechoma moto vyeti kesho inatakiwa ufike ofisi kubwa na vyeti vyako utafanyaje,vyeti haviozi wwe viweke lamination tafuta sefu viweke vitajibu IPO siku,tena Shukuru Mungu unapata pa kujishughulisha endelea napo ikitokea ajira sawa huku ukipania kujipanua zaid.Fanya shughuli yeyote inayozarauliwa au isiyowezafanywa na watu au wasomi ifanye kisomi zaid weka vyeti pembeni ondoa aibu songa mbele,toa sadaka ,fungua moyo wako uone Baraka zitakavomiminika zaid.Amen.
ingia google kuna NGO moja iko arusha inaitwa the foundation for tommorow, inahitaji interns, aply then wanaweza wakaja kukuajiri baadaeJamani mwenzenu tangu nimegraduate 2011, B.A Community Development, tena nina GPA nzuri tu, na ni mtu wa kujituma, lakini sijawahi pata ajira mahali popote, NGOs ni nyingi lakini sijawahi hata kuitwa kwa interview katika NGOs zote nilizoomba. Japo naendelea kupambana na maisha ktk nyanja za kilimo na ufugaji lakini duuuh nikiwaona wenzangu wapo makazini (tena wengine nilikua nikiwabeba kwenye group assignments) napata shida nafsini mwangu to the extent that natamani kuchana vyeti vyangu vyoote nikae kama vile sikuwahi kwenda shule kabiiisaaaa!
Kuna wakati nilitembea maofisini katika ofisi ambazo nafahamu fika wanafanya shughuli zinazohusiana na maendeleo ya jamii nikiomba kujitolea buuureeee kabisa, nauli yangu, lunch yangu, wao wanipe kazi tu niwe nazifanya, tena nitazifanya kwa moyo, lakini sikupata hata pahala pamoja! nina mapenzi makubwa sana na profession yangu lakini sasa navunjika moyo, najiuliza nini kinasababisha nisikubaliwe hata pale ninapokua tayari kufanya kazi bure (Volunteering), nimefunga na kuomba kwa kila hali, sasa nimebaki kuhangaika na nafsi tu, nawaza kuchana vyeti vyangu vyote, na mabaki niyachome moto, iwe habari yangu ya shule imeishia hapo!
Pole sana mungu atakufanyia wepesiJamani mwenzenu tangu nimegraduate 2011, B.A Community Development, tena nina GPA nzuri tu, na ni mtu wa kujituma, lakini sijawahi pata ajira mahali popote, NGOs ni nyingi lakini sijawahi hata kuitwa kwa interview katika NGOs zote nilizoomba. Japo naendelea kupambana na maisha ktk nyanja za kilimo na ufugaji lakini duuuh nikiwaona wenzangu wapo makazini (tena wengine nilikua nikiwabeba kwenye group assignments) napata shida nafsini mwangu to the extent that natamani kuchana vyeti vyangu vyoote nikae kama vile sikuwahi kwenda shule kabiiisaaaa!