Natamani kuchana vyeti!

Ndugu usichane vyeti ishi kwa kumtumainia Mungu. Siku utakayochana vyeti Saa moja mbele utaona sms ya kuitwa interview uje na original certificate utafanya nini?? So think big wewe ni msomi Muache Mungu Afanye yalio bakia hii ni ushuhuda siku utakapo pata kazi. Mungu anapima uvumilivu wako plz usimuaibishe mbele ya shetani
 
Tatizo wengi mnasoma bila kujua ni nini utafanya baada ya kupata cheti. Hili ni kosa kubwa

Kwa hiyo Mkuu, unataka kusema wale wote waliofanikiwa kupata ajira mapema walijua ni nini wangelifanya baada ya kumaliza masomo!!
Hiii hali ikiwa imekupitia pembeni waweza waona wanaolalamika kama mleta mada ni wazembe fulani hivi........
Mimi namsihi aamini tu kwamba MUNGU ni mwema na ana makusudi yake.
Ur better days are coming Dada angu
 
Ukianza kumlau au kumshirikisha mungu, unafifisha jitihada zako za kufanya challenges kuwa opportunities. Nasema amemaliza degree ya kwanza zamani, anamwenzi hadi mtoto. Hapaswi kung'ang'ana na alicho nacho. Kwanza lazima tukumbuke kuwa Degree ya kwanza kwa sasa si ya kutafutia kazi. Angalau awe na masters inayoeleweka! huo ni ukweli mchungu
 
Una gundu mjomba ogea maji ya magadi aisee au hujui kuandika CV au hujui kuandika barua ya maombi au hujishughulishi kutafuta ajira kwenye tovuti na blogs za ajira au huna experience ya kutosha au unataka ulipwe shahara kubwa yaani sielewi kabisaaa
 
Acha zarau wewe.....!!!!

Pole sana Dada inataka mtu ambaye amepitia haya kujua hali uliyonayo na jinsi unavyojisikia.

Ila usijaribu kuharibu vyeti vyako.

Ahsante!
 
Una gundu mjomba ogea maji ya magadi aisee au hujui kuandika CV au hujui kuandika barua ya maombi au hujishughulishi kutafuta ajira kwenye tovuti na blogs za ajira au huna experience ya kutosha au unataka ulipwe shahara kubwa yaani sielewi kabisaaa
Ahsante kwa mchango wako pia!
 
KUUNDWA JUKWAA LA WAHITIMU WA DEGREE NA DIPLOMA NCHINI.
 
Kashasema nyuma hayko vzr ki feza utamlipia fees ya masters
 
Don do this pliiz! Huyu ni shetani anakufatilia jitahudi sana umshinde.. Usije ukathubutu kuchana vyeti Utajutia maisha yako yote...Unaweza,ukachana alafu ukaitiwa kazi.. Usichoke kuomba Mungu ni mwaminifu iko siku atakupa hitaji la moyo wako... Huwa hawai wala hachelewi.. Amekutoa darasa la,kwanza hadi,chuo kikuu,hawezi kukuacha.. Kumbuka kila,jaribu,lina mlango wa kutokea
 
What did you get on your ordinary level and high school?are you presentable?
 
Ahsante!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…