Natamani kuanza maisha serious ila sina wa kuanza naye

Mkuu usikatishwe tamaa wazo lako linawezekana kabisa kikubwa ni kumwomba mungu akukutanishe na aliye siriasi kumbuka kumpata mwenza aliye sahihi ni jambo gumu na linaumiza wengi vichwa ndio maana nikatanguliza umwombe kwanza mungu.
 
Ni mara kaadha nimekua nikiskia baadhi ya shuhuda kwa baadhi ya wanandoa walionza kupambana na maisha wakiwa hawana kitu au walionza from zero mpaka wakawa na vibiashara na miradi kadhaa.

Leo hi kila nikipiga hesabu na mimi natamani kuanza maisha ila wa kuanza naye sina. Kipato changu kwa mwezi ni 300,000. Elimu ni Shahada (Bachelor), jinsia Me, Umri 28.
Mzee kula chakula shiba vizuri kisha uone km wazo hilo bado unalo au nja tu
 
Ni mara kaadha nimekua nikiskia baadhi ya shuhuda kwa baadhi ya wanandoa walionza kupambana na maisha wakiwa hawana kitu au walionza from zero mpaka wakawa na vibiashara na miradi kadhaa.

Leo hi kila nikipiga hesabu na mimi natamani kuanza maisha ila wa kuanza naye sina. Kipato changu kwa mwezi ni 300,000. Elimu ni Shahada (Bachelor), jinsia Me, Umri 28.

Bachelor ya nini mkuu unalipwa 300,000?
maisha ya saiv ukiwa na hizo salary ujue huwezi kuendelea labda uwe mwizii.........
 
Back
Top Bottom