Natamani kuanza maisha serious ila sina wa kuanza naye

We naye, sasa wewe unatafuta mke anayekupenda wewe au anayependa laki 3 zako maana hujiamini kabisa yan. Daah aya imagine umeumwa ndani huna msaada wa kusaidiwa. Je utafanya nini?... alafu yule mke alikupendea pesa yy hana kitu anaondoka. Tafuta mke anayejali.
 
Back
Top Bottom