Nahisi nahitaji vyote kwa mtu mmoja mwaminifuUnatafuta business partner ama mpenzi?sijaelewa
Administrative officer kampuni binafsikipato cha 300k degree!...unafanya kazi gani mkuu???
Kwa nini mkuu ? Kwamba haiwezekani ?Mkuu hebu jaribu kutoa hizo nyege ndio ujifikirie upya na ufikie maamuzi.
Hizi si akili zako
Huenda vyote kwa pamoja.Unatafuta business partner ama mpenzi?sijaelewa
Nahisi nahitaji vyote kwa mtu mmoja mwaminifu
You are a Great Thinker.Administrative officer kampuni binafsi
Ndio ni take home mkuuHiyo 300K ni take home?
Dar es salaamMkuu shikamoo, upo mkoa gani? wakusomeke vizur.
Sure mkuuUtampata mkuu, bora umekua wazi, ila PM hawatakuja kwa kua wameona 300k