cantonna
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,120
- 439
kiukweli napiga punyeto kupita kiasi kwa siku mara nne hadi tano natamani sana kuacha hii kitu lakin nashindwa kabisa na nnajuta kwann nilijifunza hii kitu.jaman kama kuna mbinu yoyote nawezatumia ili niachane na hii kitu naomba nambieni wana jf..!