OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,139
- 12,882
Aisee nyiee!!
Huu mwaka nimejikuta nasoma vitabu viwili vya zamani ambavyo naamini kila mtu amewahi kuvisoma, lakini hivi vitabu ukisoma neno kwa neno, mstari kwa mstari, ukisoma kwa kutafakari na kuhusianisha na maisha halisi ya mtaani hskika utagundua mambo mengi yakushangaza sana
Cha pili ni hiki hapa chini
Hatimaye nimewaelewa wanawake yaani nashindwa hata niseme nini wakuu
Hatimaye nimefungua code ambazo zilinishinda kwa miaka mingi kuzifungua, nmesoma sana lundo la vitabu mbali mbali ila hivi viwili ni moto wa kuotea mbali
Yaani sasa hivi naishi kwa raha sana 😆
Hii dunia hii jamani acheni tu dah! Hata machawa kumbe sio wajinga wanaishi na kula vizuri kuna siri kubwa ktk hivi vitabu viwili ukisoma utaelewa kwa undani
Mwenye maacho na asome, mwenye bando na afaidike
Muwe na wakati mwema wakuu na nawatakia mafanikio mema popote mlipo baada ya kusoma vitabu hivi
Ahsanteni