natamani dunia irudi kwenye maisha ya ujima, kusiwepo na MAMBO YOTE YA KISASA majumba magari, simu na mambo ya ki technology bila kupunga population hii iliyopo, tuishi mapangoni na kula mizizi porini tumetawanyika. hakuna nchi wala uraisi bali uongozi wa kiukoo na si zaidi ya hapo