Natamani hata ningekufa leo !

Alhamdulilah sijawahi kuwaza kufa! Maisha matamu jamani pamoja na heka hela zake!
Ingawa kulia hadi kumuhoji sir God kama yuko serious na mimi ni mara kibao tu 😃
Una hoji kwa nini mimi maisha bwana hebu fikiria mtu aliyezaliwa huku Sudan ni vita tu ,au congo huko muda wote kuna waka moto kuna muda tunatakiwa tushukuru mungu kwa kila jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…