Natamani hata kuondoa uhai wangu

Natamani hata kuondoa uhai wangu

daah hatari sana ila na wew ULIANZAJE KUNYWA POMBE ZA LAKI 5??? yani unajua ushafukuzwa kazi alafu unachezea hela
Mkuu nilikuwa namawazo kupita kiasi imagine ghafla ulipokuwa unategemea pakaondolewa
 
Huwa sinywi pombe kiasi hicho
Suala sio kunywa pombe kiasi hicho. Kwa wewe hupaswi hata kusogelea maeneo wanayouza pombe.

Ningekuona wa maana kama ungeitumia hiyo pesa kutembelea show rooms za magari, ili ujue bei za magari huenda utaushtua umaskini. Badala yake wewe umeamua kuyachoma maini.
 
Mimi naona angetupa na aina ya matumizi aliyokuwa anatumia laki kwa siku ili tumsaidie jinsi ya kubana matumizi ukiwa na hela
 
Wadau habari zenu,

Wadau mimi nikijana (28) nilikuwa nafanya kazi kampuni fulani ila ikafika muda tukapunguzwa kazini, lakini pia nilikuwa nimesave kiasi cha kama laki 7 kwenye account yangu benki, ikumbukwe pia kipindi chote hicho sikuwa na hata pakuishi hata simu niliyokuwa natumia ilikuwa ya batani maana nilikuwa na katecno.

Ila katika harakati za kutafuta kazi basi ilibidi nikauze ili kupata nauli ya kufatilia michongo ya kazi, maana nilikuwa jobless tu kitaa na pia wazazi nao hawakuwa vizuri kiuchumi hivyo nilikuwa napiga tu mishe kwa kujitegemea.

Sasa baada yakupunguzwa kazini kutokana na ukata wa kampuni huku nikiwa na mawazo mengi kichwani nikafatilia pesa yangu benki huku nikijua ndio mwisho wa kazi. Nikasema wacha ninunue hata ka smartphone ka laki 2, ikabaki laki 5 ili zingine zinisaidie kwenye michongo yangu, hapa ndipo balaa lilipoanzia

Nikajikuta nimekuwa mlevi kupindukia ndani ya siku 5 kwenye account nikicheki salio ni elfu 10 tu ndio imebaki. Sijui pakuanzia tena na pesa imeisha, yaani nimetumia almost laki 5 kwa siku 5 duh! Hapa nilipo nimechanganyikiwa, kazi sina pesa zimeisha mpaka natamani kujimaliza tu maana mawazo tele kichwani.

Ndugu zangu, huku JF sijaingia muda nikasema mkinikosa jua nimeshafanya maamuzi magumu tu ya kujitoa uhai

NB: Sina uandishi mzuri na nimepaniki mno hapa nilipo maana mawazo hayaishi.
Acha ujinga wako wewe. Uza hii simu iliyokuleta humu hata kwa bei ya hasara ili uweze kupata akili. Baada ya akili yako kukaa sawa, tafuta kqzi hata za deiwaka ili maisha yaendelee.

Sababu yako ya kujitoa uhai haina mashiko. Jifunze kutokana na makosa. Wakati mwingine ukipata hela, utakuwa na nidhamu ya matumizi.
 
Pombe unywe wewe kwa pesa na starehe zako afu unakuja kututisha eti unataka kujiua?

Vijana acheni kudekadeka kifala mtakuja kuliwa shauri yenu, Jana Kuna kilema mguu mmoja umekatika nimemuona anafanya kazi ngumu si kitoto, mtu Hana baadhi ya viungo hajakata tamaa Wala kukufuru anapambana!! Kijana una 28yrs upo vizuri tu eti unataka kujiua???
Senior idiot
 
Depression z real...Msifanye masihara...pole sana ndugu...Anza upya..hujachelewa...kama ulianza zero...ukafika mpaka lak 7...zikaisha..ukarud tena zero....Anza tna this tym utafika mbali sana...Hayo mawazo ya kujiua achana nayo...jitahidi usipende kukaa peke ako...jichanganye hata kwa unao zan umewapita maisha...jichanganye kwa mama lishe hao...masela kitaa...huku unazid kuusoma mfumo taratibu...caz unaonekana unawaofia jamii itakuonaje...acha hzo kushuka na kupanda ni jambo la kawaida...kikubwa ni afya....kila la kher mkuu...

NB: Unakufaje na kuacha deni la starehe huku dunian...
 
Pole, haupo peke yako, hebu pitia Jukwaa la Ajira na Tenda wapo jobless kama wewe, wanapambana mdogo mdogo tu, mambo yatachomoza siku moja.

Mimi siyo mdau wa pombe, ni bora kuachana na ulevi, sababu ni janga la kuleta umaskini.
 
Ahsante sana mkuu ila nikifikiria sina hata pakuanzia boss
 
Wadau habari zenu,

Wadau mimi nikijana (28) nilikuwa nafanya kazi kampuni fulani ila ikafika muda tukapunguzwa kazini, lakini pia nilikuwa nimesave kiasi cha kama laki 7 kwenye account yangu benki, ikumbukwe pia kipindi chote hicho sikuwa na hata pakuishi hata simu niliyokuwa natumia ilikuwa ya batani maana nilikuwa na katecno.

Ila katika harakati za kutafuta kazi basi ilibidi nikauze ili kupata nauli ya kufatilia michongo ya kazi, maana nilikuwa jobless tu kitaa na pia wazazi nao hawakuwa vizuri kiuchumi hivyo nilikuwa napiga tu mishe kwa kujitegemea.

Sasa baada yakupunguzwa kazini kutokana na ukata wa kampuni huku nikiwa na mawazo mengi kichwani nikafatilia pesa yangu benki huku nikijua ndio mwisho wa kazi. Nikasema wacha ninunue hata ka smartphone ka laki 2, ikabaki laki 5 ili zingine zinisaidie kwenye michongo yangu, hapa ndipo balaa lilipoanzia

Nikajikuta nimekuwa mlevi kupindukia ndani ya siku 5 kwenye account nikicheki salio ni elfu 10 tu ndio imebaki. Sijui pakuanzia tena na pesa imeisha, yaani nimetumia almost laki 5 kwa siku 5 duh! Hapa nilipo nimechanganyikiwa, kazi sina pesa zimeisha mpaka natamani kujimaliza tu maana mawazo tele kichwani.

Ndugu zangu, huku JF sijaingia muda nikasema mkinikosa jua nimeshafanya maamuzi magumu tu ya kujitoa uhai

NB: Sina uandishi mzuri na nimepaniki mno hapa nilipo maana mawazo hayaishi.
Pole sana. Uko mkoa Gani?
 
Pole, haupo peke yako, hebu pitia Jukwaa la Ajira na Tenda wapo jobless kama wewe, wanapambana mdogo mdogo tu, mambo yatachomoza siku moja.

Mimi siyo mdau wa pombe, ni bora kuachana na ulevi, sababu ni janga la kuleta umaskini.
Ahsante sana mkuu
 
Kazi ya pombe ni kuahirisha matatizo. Uliahirisha tatizo sasa limerudi mahali pake.
Binafsi nakutakia kila laheri kwa maamuzi yako
 
Back
Top Bottom