Lakikunene
Senior Member
- Jul 18, 2017
- 129
- 145
- Thread starter
- #81
ArushaPole sana. Uko mkoa Gani?
ArushaPole sana. Uko mkoa Gani?
Aweke namba yake kama atapenda maana so rahisi kukumbuka thread zote humu. Naweza kumpa wazo la biashara alifanyie kazi. Kujiua ni sawa na kuua kwa hiyo atapata adhabu mbele ya safari. Wela namba hapa au pm tutawasiliana. Don't kill yourself. That is the way of the cowards.Ni hali ya kawaida ya mtu inaweza kumkuta, anakata tamaa, mbele giza nyuma giza, unasema ngoja nimalize tu na hii iliyopo. Kumbuka story ya Mama Mjane kwenye Biblia, akasema ngoja nikatengeneze chakula cha mwisho nile na mwanangu kisha tusubiri kifo.....kwahio wala tusimlaumu. Tumsaidie kama tutaweza
Hivi akijiua hii dhambi utaificha wapi...Lakikunene usiwasikilize hao wanaosema usijiue shikilia msimamo wako huohuo wa kujiua. Mwanamume msimamo mkuu
Vijana wa siku hizi bhana Huwa hatukubaliani na kitu kinachoitwa changamoto... Mimi nimelala chini zaidi zaidi ya miaka 17 Hadi nimeangukia kuwa nusu kiziwi ,,,ila sikata tamaa ng'ooPombe unywe wewe kwa pesa na starehe zako afu unakuja kututisha eti unataka kujiua?
Ok. Tutawasiliana.Arusha
Kuna watu makatili sana ila wanatufundisha kuacha ujinga@ ha ha aaaHivi akijiua hii dhambi utaificha wapi...
Changamoto ndogo mtu anataka kujiua, angekua kipofu sasa?Vijana wa siku hizi bhana Huwa hatukubaliani na kitu kinachoitwa changamoto... Mimi nimelala chini zaidi zaidi ya miaka 17 Hadi nimeangukia kuwa nusu kiziwi ,,,ila sikata tamaa ng'oo
Kwaiyo ukinywa pombe ndo panarudishwa?Mkuu nilikuwa namawazo kupita kiasi imagine ghafla ulipokuwa unategemea pakaondolewa
Kuliko ajiue bure, bora aende Iringa huko akapate utajiri wa punje. Hata kuku akidonoa punje 3 hana hasara.Ngoja aje Bantu Lady akupe ushauri.
Mimi nipo poa kabisa,hope u are doing good,Kuliko ajiue bure, bora aende Iringa huko akapate utajiri wa punje. Hata kuku akidonoa punje 3 hana hasara.
The Icebreaker mzima lakini... ndiyo vijana hawa Taifa linawategemea, kanywea laki 5 anataka kujiua!!!
Vizuri sana, ni furaha yangu ukiwa salama. Tumuombee apate ujasiri wa kusimama tena.Mimi nipo poa kabisa,hope u are doing good,
Bila shaka mleta mada atafuata huu ushauri.
Ahsante sanaPole sana...
umepiga gambeee. hahahahaWadau habari zenu,
Wadau mimi nikijana (28) nilikuwa nafanya kazi kampuni fulani ila ikafika muda tukapunguzwa kazini, lakini pia nilikuwa nimesave kiasi cha kama laki 7 kwenye account yangu benki, ikumbukwe pia kipindi chote hicho sikuwa na hata pakuishi hata simu niliyokuwa natumia ilikuwa ya batani maana nilikuwa na katecno.
Ila katika harakati za kutafuta kazi basi ilibidi nikauze ili kupata nauli ya kufatilia michongo ya kazi, maana nilikuwa jobless tu kitaa na pia wazazi nao hawakuwa vizuri kiuchumi hivyo nilikuwa napiga tu mishe kwa kujitegemea.
Sasa baada yakupunguzwa kazini kutokana na ukata wa kampuni huku nikiwa na mawazo mengi kichwani nikafatilia pesa yangu benki huku nikijua ndio mwisho wa kazi. Nikasema wacha ninunue hata ka smartphone ka laki 2, ikabaki laki 5 ili zingine zinisaidie kwenye michongo yangu, hapa ndipo balaa lilipoanzia
Nikajikuta nimekuwa mlevi kupindukia ndani ya siku 5 kwenye account nikicheki salio ni elfu 10 tu ndio imebaki. Sijui pakuanzia tena na pesa imeisha, yaani nimetumia almost laki 5 kwa siku 5 duh! Hapa nilipo nimechanganyikiwa, kazi sina pesa zimeisha mpaka natamani kujimaliza tu maana mawazo tele kichwani.
Ndugu zangu, huku JF sijaingia muda nikasema mkinikosa jua nimeshafanya maamuzi magumu tu ya kujitoa uhai
NB: Sina uandishi mzuri na nimepaniki mno hapa nilipo maana mawazo hayaishi.