Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,976
Tafuta mume ule na kulala bure wewe kazi yako ni moja tu kulala bila chupi..)))
ukaamua unywe?? wewe ni MLEVI usisingize msongo wa mawazoNilijikuta msongo wa mawazo tu
kwa hiyo swali lenye mantiki ni lipi??Ukishajiua ndio utakua umetafua tatizo? Ni swali la kijinga sana
Acha ujinga wewe hela umelewea halafu unataka ujiue,nikahisi sijui ulipatwa na janga gani,Nilitaka nikukonekt na dogo yuko chuga Kuna mchongo kumbe hali si hali lolWadau habari zenu,
Wadau mimi nikijana (28) nilikuwa nafanya kazi kampuni fulani ila ikafika muda tukapunguzwa kazini, lakini pia nilikuwa nimesave kiasi cha kama laki 7 kwenye account yangu benki, ikumbukwe pia kipindi chote hicho sikuwa na hata pakuishi hata simu niliyokuwa natumia ilikuwa ya batani maana nilikuwa na katecno.
Ila katika harakati za kutafuta kazi basi ilibidi nikauze ili kupata nauli ya kufatilia michongo ya kazi, maana nilikuwa jobless tu kitaa na pia wazazi nao hawakuwa vizuri kiuchumi hivyo nilikuwa napiga tu mishe kwa kujitegemea.
Sasa baada yakupunguzwa kazini kutokana na ukata wa kampuni huku nikiwa na mawazo mengi kichwani nikafatilia pesa yangu benki huku nikijua ndio mwisho wa kazi. Nikasema wacha ninunue hata ka smartphone ka laki 2, ikabaki laki 5 ili zingine zinisaidie kwenye michongo yangu, hapa ndipo balaa lilipoanzia
Nikajikuta nimekuwa mlevi kupindukia ndani ya siku 5 kwenye account nikicheki salio ni elfu 10 tu ndio imebaki. Sijui pakuanzia tena na pesa imeisha, yaani nimetumia almost laki 5 kwa siku 5 duh! Hapa nilipo nimechanganyikiwa, kazi sina pesa zimeisha mpaka natamani kujimaliza tu maana mawazo tele kichwani.
Ndugu zangu, huku JF sijaingia muda nikasema mkinikosa jua nimeshafanya maamuzi magumu tu ya kujitoa uhai
NB: Sina uandishi mzuri na nimepaniki mno hapa nilipo maana mawazo hayaishi.
Unadhani utaenda mbinguni au motonikwa hiyo swali lenye mantiki ni lipi??
Mungu ndio anajua ampeleke wapi kutokana na alikokuchagua alipokua haiUnadhani utaenda mbinguni au motoni
Wenzako wanakuja kuomba ushauri wakiwa na mitaji, wewe unaomba wakati umekula mtaji? Utakula ulikopeleka mbogaWadau habari zenu,
Wadau mimi nikijana (28) nilikuwa nafanya kazi kampuni fulani ila ikafika muda tukapunguzwa kazini, lakini pia nilikuwa nimesave kiasi cha kama laki 7 kwenye account yangu benki, ikumbukwe pia kipindi chote hicho sikuwa na hata pakuishi hata simu niliyokuwa natumia ilikuwa ya batani maana nilikuwa na katecno.
Ila katika harakati za kutafuta kazi basi ilibidi nikauze ili kupata nauli ya kufatilia michongo ya kazi, maana nilikuwa jobless tu kitaa na pia wazazi nao hawakuwa vizuri kiuchumi hivyo nilikuwa napiga tu mishe kwa kujitegemea.
Sasa baada yakupunguzwa kazini kutokana na ukata wa kampuni huku nikiwa na mawazo mengi kichwani nikafatilia pesa yangu benki huku nikijua ndio mwisho wa kazi. Nikasema wacha ninunue hata ka smartphone ka laki 2, ikabaki laki 5 ili zingine zinisaidie kwenye michongo yangu, hapa ndipo balaa lilipoanzia
Nikajikuta nimekuwa mlevi kupindukia ndani ya siku 5 kwenye account nikicheki salio ni elfu 10 tu ndio imebaki. Sijui pakuanzia tena na pesa imeisha, yaani nimetumia almost laki 5 kwa siku 5 duh! Hapa nilipo nimechanganyikiwa, kazi sina pesa zimeisha mpaka natamani kujimaliza tu maana mawazo tele kichwani.
Ndugu zangu, huku JF sijaingia muda nikasema mkinikosa jua nimeshafanya maamuzi magumu tu ya kujitoa uhai
NB: Sina uandishi mzuri na nimepaniki mno hapa nilipo maana mawazo hayaishi.
Hamna bwana wewe nafsi yako inapaswa kukupa jibuMungu ndio anajua ampeleke wapi kutokana na alikokuchagua alipokua hai
Vizuri kunilaumu yote tisa ukweli naujua mimi dada yangu ila mimi siyo mleviukaamua unywe?? wewe ni MLEVI usisingize msongo wa mawazo
Stanbic bank nduguUnatumia akaunti ya benki gani kijana?
daah hatari sana ila na wew ULIANZAJE KUNYWA POMBE ZA LAKI 5??? yani unajua ushafukuzwa kazi alafu unachezea helaQualification zangu mkuu mimi nilisoma diploma chuo fulani(Public administration and management)na sikupata ajira kwa zaidi ya miaka 5 sasa ndio nikaamua kujichanganya kwenye kampuni ndio ikawa hivyo