Natamani DSM ingekuwa hivi

Natamani DSM ingekuwa hivi

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,677
Hali nzuri sana ya hewa na mandhari

DSC00252.JPG
 
Nimeona mandhari kama hayo Njombe, Lushoto na Tukuyu
 
Aidha njombe,dabaga, kalenga. Yani nyanda za juu kusini huko.
Nina kabanda kasiri nimekajengaga huko ndaani safi sana kwa kutuliza akili!
 
isijei kawa kama ka yule jamaa karibu na mlimani city,tehe teheeeee
 
Aidha njombe,dabaga, kalenga. Yani nyanda za juu kusini huko.
Nina kabanda kasiri nimekajengaga huko ndaani safi sana kwa kutuliza akili!

kalenga hakuna hali kama hyo mkuu labda sehem nyngne hzo
 
Back
Top Bottom