marigo_255
New Member
- Aug 12, 2026
- 1
- 3
Hivi ni campuni gani ina layer wazur kw wingi wa utagaji na uhimili wa Hali ya hewa
mke wa Lissu iko wapi hiyo kampuni...bei ya kifaranga ikojeIssa brown
Wacheki interchikmke wa Lissu iko wapi hiyo kampuni...bei ya kifaranga ikoje
Issa brown ni strain ya kuku sio kampuni tu though hata kampuni ya kuuza vifaranga vya strains zao ipo,Issa brown
S&Q hawana tena hyline wanao aina mpya wanaitwa Jing BrownIssa brown ni strain ya kuku sio kampuni tu though hata kampuni ya kuuza vifaranga vya strains zao ipo,
kwa Tanzania hakuna hiyo kampuni ya Issa Brown ila mkuza wanauza strain yao moja inaitwa BOVAN BROWN
Kwa Tanzania Hy-line brown ya interchick na S&Q, STL ya Silverland ndio common kwa Layaers.
OkayS&Q hawana tena hyline wanao aina mpya wanaitwa Jing Brown