Dada zangu mnatusononesha sana walaaaaah.View attachment 170993
mkuu haki yao ila si kwa hilo vazi banaa...tena mwezi huu
Kwanza nasikia kufunga mwisho ni mwaka huu, maana uislamu nao unafanyiwa maboresho.Me naona ni haki yao tu, atakayekwazika kwa kuwaona hivyo wakati amefunga bora afungulie tu tujue moja!
ntake radhi mamaafacebook....mwezi wote huu mi siingi bar
Sheria kuwanyonga hawa
Dada zangu mnatusononesha sana walaaaaah.View attachment 170993
Dada zangu mnatusononesha sana walaaaaah.View attachment 170993
Hilo ni vazi tu kila mmoja anaweza kulivaa kama uonavyo kwenye picha.
Tena siku hizi wale wenzetu wanalivaa kweli kweli, si unaona picha hiyo, wanaona lina lipa. Mtu anaona kapata kumbe kapatikana.