Natamani bara ingekuwa kama pemba...

Natamani bara ingekuwa kama pemba...

Hao wenye hilo vazi wenyewe siku hizi wanavaa juu hijab ndan Bikin wee unashangaa
 
Mnajua hii picha ni kina nani, pengine imepigwa huko huko bara ila ndo chuki binafsi tu ndio zinapelekea hivi
 
Kunywa wanywe kwani kila mmoja na dhambi yake siku ya mwisho atahukumiwa..Ila hilo vazi wavue...Ni sawa na kuvaavazi la kiaskofu halafu unaenda kulewa, kuiba au kuzini....

Si vyema kuvaa vazi la dini halafu unafanya hivyo..

Halafu me ndio nawaonaga hawa wanaovaa ninja wasichana walio wengi ni wanafiki kuna kitu wanaficha kwanini wasivae tuu baibui na kuonyesha kipaji cha uso kama wenginee?

Ukichunguza utakuta wanaovaa ninja mchana wanafanya mahasi mengi sana usiku...hivyo mchana hawataki wajulikane...



TE=B'REAL;10069346]Dada zangu mnatusononesha sana walaaaaah.View attachment 170993[/QUOTE]
 
Kwa hiyo umeona kunitukana mimi haitoshi umeona unitukanie na mama yangu sio?

Kama ni matusi basi wewe ulianza kutukana mama za watu ulipoandika hivi:

quote_icon.png
By strong ruler
Hao wenye hilo vazi wenyewe siku hizi wanavaa juu hijab ndan Bikin wee unashangaa

Kumbuka "hao wenye hilo vazi" ni mama za wenzako.

Mkuki kwa nguruwe?
 
Bara huwa watu hata kama mwezi mtukufu hakuna anayemlazimu mtu kuvaa kwa kujisitiri...Ila Pwani dini ipo sana hivyo unakuta mtu anaona aibu kutoka na nguo ya kawaida ....Anavaa vazi la hivyo kumbe ndani ya moyo wake ni chui...ndio maana anafanya hivyo..

Ila bara hata kama ni Muslim hujafunga, hujisitiri hakuna anayekuuliza...Wapo tuu wengi...


Mungu atusitiri

***************************

Mnajua hii picha ni kina nani, pengine imepigwa huko huko bara ila ndo chuki binafsi tu ndio zinapelekea hivi
 
Bara huwa watu hata kama mwezi mtukufu hakuna anayemlazimu mtu kuvaa kwa kujisitiri...Ila Pwani dini ipo sana hivyo unakuta mtu anaona aibu kutoka na nguo ya kawaida ....Anavaa vazi la hivyo kumbe ndani ya moyo wake ni chui...ndio maana anafanya hivyo..

Ila bara hata kama ni Muslim hujafunga, hujisitiri hakuna anayekuuliza...Wapo tuu wengi...


Mungu atusitiri

***************************

Wewe kwa mawazo yako wapi hapa, maana zanzibar hizi zinauzwa sehemu za utalii tu
 
Back
Top Bottom