Natalia Leo yamenikuta Msaada help

Natalia Leo yamenikuta Msaada help

Si mnakumbua hata alikuwa anakuja na maneno mengi eti Obama atashindwa, tukawa tunamwambia asuburi tuone matokeo tarehe 06/11/2012....lakini akawa hasikii akawa anakuja tu na kelele zake...Naona kelele za Obama zimeisha, sa anamuandama mama mkwe wake :biggrin1:
Obama mambo ya siasa .nimemwambia mume wangu sitaki pressure.mume wangu ata deal na hayo kanigongea mlangoni Kwangu .nina watoto watajibeba
 
we Natalia,kwanza why did you vote for Romney?umeona sasa bahati mbaya zinakuandama?

anyway,piga kimya subiri na wewe ufike miaka 70 utakapojikuta na wewe n.ye.gee zimekushika ndio utajua kwanini hicho kibibi kimefanya hivyo!

Nimeshusha mzigo kifuani nine mwambia mume wangu
 
ama kweli ngombe hazeeki maini,,, dah huyu kizee inaonekana mwili wake uko fiti kiaina, maana wengi baada ya kuingia menopouse huwa wanakosa libido au inapungua sasa huyu hadi 70's dah natamani kama kuna mjukuu wake nimpate maana huyo nitajichumia hadi uzeeni,, in short wapo wachache wa aina hii
 
Dementia kitu gani wacheza na genye ww, mind ur busines bana!

Nimeamua kumwambia mume wangu nimempigia simu .huyu mbaba niliyemkuta na mama mkwe wangu kaja kugonga mlango hapa.mume wangu kacheka kwelikweli
 
Hakutiokea siku ile sijui alijua nitamchuna, wanaume wa Bara wako wabahili

tatizo ulionekana wa viwanja vikubwa vikubwa, this weekend karibu mitaa yangu ya kujidai buguruni kwa mnyamani,unaweza panda treni ya Mwakyembe from ubungo au posta,karibu
 
......unataka kumwambia mumeo ili iweje? Umvue nguo mama yake?
Ukipotezea utachubuka?
 
Haya hapa natetemeka nimekwenda kwa mama mkwe Ana miaka 70 nimemkuta anafanya mapenzi sebleni na mume wa best wake.hatupigagi simu tukienda kwake na nilienda hapo kumpelekea mzigo.waliniona na nikajifanya sijali walitetemeka na sijui ni fanye nini.mume wangu very strict na Mkali sana kwa mama ake .mnanishaurije nimweleze mume wangu au .hapa mama Mkwe amenitext to keep it to myself .jamani nifanyeje

Natalia unawashwa nini? kwani wewe ndio umepelekewa ukuni huo! wee kausha tu halafu atakuona bonge la mkamwana na si ajabu atakupandisha cheo. Ila ukijifanya kiherehere cha kuchonga mdomo si ajabu utakuwa unajitafutia uadui wa kudumu.
 
ama kweli ngombe hazeeki maini,,, dah huyu kizee inaonekana mwili wake uko fiti kiaina, maana wengi baada ya kuingia menopouse huwa wanakosa libido au inapungua sasa huyu hadi 70's dah natamani kama kuna mjukuu wake nimpate maana huyo nitajichumia hadi uzeeni,, in short wapo wachache wa aina hii
Labda unaongelea karne ya 20 sio 21.
 
Mama mkwe wako ana miaka 70 na anafanya sex hii kali, hivi we umesoma mpaa high school au uliishia darasa la saba tu.

G-spot does not exist (orgasmic area haipo kabisa ukifika miaka 60 kwa wanawake) sa huyo mama mkwe wako ana miaka 70 na anayo bado....nadhani itakuwa mara ya kwanza duniani kupata mwanamke ana miaka 70 na bado ana G-spot.

Wacha kumtukana mama mkwe wako kwa kumzulia anafanya sex, na mme wako kama ana akili pale unapo mwambia ni bora ukutwanga talaka tu urudi kwenu, unless liwe halijaenda shule nalo kama wewe.


Angekuwa baba mkwe wako ana miaka 120 na anafanya sex pale ninge amini.
Jifunze kumheshima mama mkwe wako, kwanza ungekuwa na heshima wewe ungekuja msema mama mkwe wako hapa, hata kama hatukujui.

Wewe 70 wanafanya mapenzi huyu Mbaba duo mzee kama yeye.wazungu mpaka chupa ya shampoo wanaweka chini uko Chezea
 
Sipati picha hayo makelele ya kibibi bibi ai uwii ohoooo
 
Mama mkwe wako ana miaka 70 na anafanya sex hii kali, hivi we umesoma mpaa high school au uliishia darasa la saba tu.

G-spot does not exist (orgasmic area haipo kabisa ukifika miaka 60 kwa wanawake) sa huyo mama mkwe wako ana miaka 70 na anayo bado....nadhani itakuwa mara ya kwanza duniani kupata mwanamke ana miaka 70 na bado ana G-spot.

Wacha kumtukana mama mkwe wako kwa kumzulia anafanya sex, na mme wako kama ana akili pale unapo mwambia ni bora ukutwanga talaka tu urudi kwenu, unless liwe halijaenda shule nalo kama wewe.


Angekuwa baba mkwe wako ana miaka 120 na anafanya sex pale ninge amini.
Jifunze kumheshima mama mkwe wako, kwanza ungekuwa na heshima wewe ungekuja msema mama mkwe wako hapa, hata kama hatukujui.
Umenifanya no google yaani mpaka miaka 80 mpaka 90.you tube angalia.usibishe
 
Mama mkwe wako ana miaka 70 na anafanya sex hii kali, hivi we umesoma mpaa high school au uliishia darasa la saba tu.

G-spot does not exist (orgasmic area haipo kabisa ukifika miaka 60 kwa wanawake) sa huyo mama mkwe wako ana miaka 70 na anayo bado....nadhani itakuwa mara ya kwanza duniani kupata mwanamke ana miaka 70 na bado ana G-spot.

Wacha kumtukana mama mkwe wako kwa kumzulia anafanya sex, na mme wako kama ana akili pale unapo mwambia ni bora ukutwanga talaka tu urudi kwenu, unless liwe halijaenda shule nalo kama wewe.


Angekuwa baba mkwe wako ana miaka 120 na anafanya sex pale ninge amini.
Jifunze kumheshima mama mkwe wako, kwanza ungekuwa na heshima wewe ungekuja msema mama mkwe wako hapa, hata kama hatukujui.

Mkuu fazaa, kuna vitu vingi sana visivyojulikana kwa uhakika katika mwili wa mwanadamu, lakini pia napenda ujue kuwa kwenda shule hakukufundishi kila kitu.
Na ndio maana tunapaswa kuwa wanyenyekevu tu iwe umekwenda shule ama hujaenda, maana kama umeenda shule umefanikiwa kuona walau mwanga mithili ya cheche tu katika chumba chenye giza..

Labda nikuulize swali, mwanamke anahitaji G'spot pekee ili kufikia orgasm?!

Kujibu hoja yako, naomba utafute SHERE HITE REPORT on female sexuality (google tu utaipata) itakuelewesha vitu ambavyo ni subjective experiences! Asante.
 
Kumbe na wewe uwa una mtembelea mama mkwe wako?
Kwa hiyo ulikwenda kupiga nae story?
Uchune tu maana haitakuwa suluhu ya tatizo!

Haya hapa natetemeka nimekwenda kwa mama mkwe Ana miaka 70 nimemkuta anafanya mapenzi sebleni na mume wa best wake.hatupigagi simu tukienda kwake na nilienda hapo kumpelekea mzigo.waliniona na nikajifanya sijali walitetemeka na sijui ni fanye nini.mume wangu very strict na Mkali sana kwa mama ake .mnanishaurije nimweleze mume wangu au .hapa mama Mkwe amenitext to keep it to myself .jamani nifanyeje
 
Pole sana Natalia bora umekwenda inaweza saidia huyo mkwe wako kuacha hiyo tabia!

Shukuru mungu hawa kugandana!

Mungu wangu huyu mbaba anagonga mlango nitakoma
 
Haya hapa natetemeka nimekwenda kwa mama mkwe Ana miaka 70 nimemkuta anafanya mapenzi sebleni na mume wa best wake.hatupigagi simu tukienda kwake na nilienda hapo kumpelekea mzigo.waliniona na nikajifanya sijali walitetemeka na sijui ni fanye nini.mume wangu very strict na Mkali sana kwa mama ake .mnanishaurije nimweleze mume wangu au .hapa mama Mkwe amenitext to keep it to myself .jamani nifanyeje

Kaa kimya, angekuwa ni mamaa'ko ungekwenda kutangaza?

Mwache mama-mkwe alikuwa anapunguza uzee.
 
Back
Top Bottom