Natalia Leo yamenikuta Msaada help

Natalia Leo yamenikuta Msaada help

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Haya hapa natetemeka nimekwenda kwa mama mkwe Ana miaka 70 nimemkuta anafanya mapenzi sebleni na mume wa best wake.hatupigagi simu tukienda kwake na nilienda hapo kumpelekea mzigo.waliniona na nikajifanya sijali walitetemeka na sijui ni fanye nini.mume wangu very strict na Mkali sana kwa mama ake .mnanishaurije nimweleze mume wangu au .hapa mama Mkwe amenitext to keep it to myself .jamani nifanyeje
 
Ahaaaa Natalia, mwache mama mkwe ajilie mhogo wake, hayakuhusu,kwan yy hana haki ya kula mhogo? Usimbanie bana lol
 
Last edited by a moderator:
mwache bibi wa watu atimize majukum yake ya kimaumbile. kwanza utaanzaje kumwambia mumeo?
 
:smiling:
Haya hapa natetemeka nimekwenda kwa mama mkwe Ana miaka 70 nimemkuta anafanya mapenzi sebleni na mume wa best wake.hatupigagi simu tukienda kwake na nilienda hapo kumpelekea mzigo.waliniona na nikajifanya sijali walitetemeka na sijui ni fanye nini.mume wangu very strict na Mkali sana kwa mama ake .mnanishaurije nimweleze mume wangu au .hapa mama Mkwe amenitext to keep it to myself .jamani nifanyeje
man is no wood! kwani mkweo hana haki ya kufanya mapenzi? hiyo strictness ya mumeo wala haiwezi gusa anga za mahitaji ya ki mapenzi ya mama yake. sioni kikubwa kilichokukuta. wewe mwenyewe tayari unajua mapenzi ni nini. actually ningekuwa mimi ndo mkweo wala hata nisingekuonya chochote hata kama nilikuwa na mume wa mtu/ yeye ni mkwe wako mambo yake ni yake.
 
mwache bibi wa watu atimize majukum yake ya kimaumbile. kwanza utaanzaje kumwambia mumeo?

Kwa sababu nimemuona.na Yule baba no mume wa rafiki yake .akienda kumweleza mkewe je ?
 
Binti yangu Natalia, nashauri ufinike kombe mwanaharamu apite. Kama ni ka mchezo kake kuna siku mwanae atambamba mwenyewe. Kumbuka yule ni mama yake na hujawapiga picha. Unaweza ukampa hiyo skandali asiiamini hasa ikizingatiwa kuwa mama mkwe wako naye atajitetea uonekane muongo. Muhimu ongea na mama mkwe wako mwambie wote ni wanawake na hivyo aamini hutamwambia mtu na kweli usimwambie mtu ingawa ushatwambia sisi. Za mwizi ni 40 wala usihagaike naye kuna siku itamtokea. Natamani nijue huyo bi mkubwa kama si mtu wa karibu na kale ka mlima karefu au ziwa kubwa tu. Kila la heri na pole sana mwanangu. Kuishi kwingi tena.
 
:smiling:
man is no wood! kwani mkweo hana haki ya kufanya mapenzi? hiyo strictness ya mumeo wala haiwezi gusa anga za mahitaji ya ki mapenzi ya mama yake. sioni kikubwa kilichokukuta. wewe mwenyewe tayari unajua mapenzi ni nini. actually ningekuwa mimi ndo mkweo wala hata nisingekuonya chochote hata kama nilikuwa na mume wa mtu/ yeye ni mkwe wako mambo yake ni yake.
Mume wa rafiki yake wakaribu mno.kila jumanne family dinner huyo mama yupo na mume wake.mama mkwe wangu Ana dementia labda kambaka.na ninahisi hii text ilitypiwa na yeye.naogopa kinoma.umeshawahi fumania watu unaowajua
 
Kwa sababu nimemuona.na Yule baba no mume wa rafiki yake .akienda kumweleza mkewe je ?

nani kati yao atathubutu kusema? kaa kimya Natalia au huwez kutunza siri?
 
Mungu wangu huyu mbaba anagonga mlango nitakoma
 
we Natalia,kwanza why did you vote for Romney?umeona sasa bahati mbaya zinakuandama?

anyway,piga kimya subiri na wewe ufike miaka 70 utakapojikuta na wewe n.ye.gee zimekushika ndio utajua kwanini hicho kibibi kimefanya hivyo!
 
Back
Top Bottom