Natalia Leo yamenikuta Msaada help

Natalia Leo yamenikuta Msaada help

duu miaka 70 na bado ana enjoy utamu,hongera zake.kuhusu hiyo issue wewe jinyamazie tu.maana yeye kujua kama umeshamuona ni adhabu tosha kwake

aaahh jamani si kamkuta mtu kwake anakula raha zake tabu iko wapi?... tena inatakiwa ukamwombe radhi kwa kwenda na kuingia ndani kwake bila taarifa.
 
Back
Top Bottom