Natalia Leo yamenikuta Msaada help

Natalia Leo yamenikuta Msaada help

Achana nae huyo. Kwanza hana maisha marefu. Mpotezee
 
Haya hapa natetemeka nimekwenda kwa mama mkwe Ana miaka 70 nimemkuta anafanya mapenzi sebleni na mume wa best wake.hatupigagi simu tukienda kwake na nilienda hapo kumpelekea mzigo.waliniona na nikajifanya sijali walitetemeka na sijui ni fanye nini.mume wangu very strict na Mkali sana kwa mama ake .mnanishaurije nimweleze mume wangu au .hapa mama Mkwe amenitext to keep it to myself .jamani nifanyeje

Ukitaka kuishi nae vizuri just keep it secret kama alivyokuambia!
 
Umenifanya no google yaani mpaka miaka 80 mpaka 90.you tube angalia.usibishe
Hahaha it depends on the woman and the partner, sometimes the fun of the race is running...not just the winning, yani sio lazima kila anaye sex ana enjoy sex :biggrin1:
 
Mkuu fazaa, kuna vitu vingi sana visivyojulikana kwa uhakika katika mwili wa mwanadamu, lakini pia napenda ujue kuwa kwenda shule hakukufundishi kila kitu.
Na ndio maana tunapaswa kuwa wanyenyekevu tu iwe umekwenda shule ama hujaenda, maana kama umeenda shule umefanikiwa kuona walau mwanga mithili ya cheche tu katika chumba chenye giza..

Labda nikuulize swali, mwanamke anahitaji G'spot pekee ili kufikia orgasm?!

Kujibu hoja yako, naomba utafute SHERE HITE REPORT on female sexuality (google tu utaipata) itakuelewesha vitu ambavyo ni subjective experiences! Asante.
Mkuu shule kitu muhimu sana sio kila kinacho andikwa kwenye google kiko sawa, google sio Quran au Taurat (Torah) na Injeel (Gospel) :biggrin1:

Bado na msimamo wangu ule ule mwanamke mwenye umri wa miaka 70 kufanya sex, ni sawa sawa na kichaa anaye tembea uchi barabarani hajui anafanya nini, wala hahisi kitu...na sio kila anaye fanya sex ana enjoy btw :biggrin1:
 
fazaa l promise nikifisha 70, nitaleta fidibaki kama bado nitakuwa naenjoy sex au vipi. Unikumbushe tu!
 
Last edited by a moderator:
Mhh kweli ngómbe hazeeki maini, jikalie kimya mwaya, tena kimya hasa maana huyo mama mkwe anauwezo mkubwa sana wa kukuharibia ndoa yako. hicho ndio kitakacho tokea. Tena huyo mume hivi utaanzaje kumwadithia hiyo stori?? KEEP QUITE!!
 
fazaa l promise nikifisha 70, nitaleta fidibaki kama bado nitakuwa naenjoy sex au vipi. Unikumbushe tu!
kaunga Safi sana usijali takukumbusha pale umefika 70
th_waitingfortheperfectman-musicosuzya.gif
😛oa
 
Haya hapa natetemeka nimekwenda kwa mama mkwe Ana miaka 70 nimemkuta anafanya mapenzi sebleni na mume wa best wake.hatupigagi simu tukienda kwake na nilienda hapo kumpelekea mzigo.waliniona na nikajifanya sijali walitetemeka na sijui ni fanye nini.mume wangu very strict na Mkali sana kwa mama ake .mnanishaurije nimweleze mume wangu au .hapa mama Mkwe amenitext to keep it to myself .jamani nifanyeje

Huna cha kufanya zaidi ya kukiweka moyoni kama mama mkwe alivyokuomba!
 
Sasa wewe mtoa mada hapo yamekukuta yapi? Usije ukajikanyaga ukamwambia mumeo coz utaonekana kama ndio unaanza kuchanganyikiwa. Taratibu mumeo asije akakupeleka MIREMBE.
 
Sasa wewe mtoa mada hapo yamekukuta yapi? Usije ukajikanyaga ukamwambia mumeo coz utaonekana kama ndio unaanza kuchanganyikiwa. Taratibu mumeo asije akakupeleka MIREMBE.
 
Haya hapa natetemeka nimekwenda kwa mama mkwe Ana miaka 70 nimemkuta anafanya mapenzi sebleni na mume wa best wake.hatupigagi simu tukienda kwake na nilienda hapo kumpelekea mzigo.waliniona na nikajifanya sijali walitetemeka na sijui ni fanye nini.mume wangu very strict na Mkali sana kwa mama ake .mnanishaurije nimweleze mume wangu au .hapa mama Mkwe amenitext to keep it to myself .jamani nifanyeje
Yanakuhusu nini wewe, si uwaachie wenyewe?
 
We fanya yako,mwache afanye yake,hata hivyo kideluse sinichake jamani..
 
Mkuu shule kitu muhimu sana sio kila kinacho andikwa kwenye google kiko sawa, google sio Quran au Taurat (Torah) na Injeel (Gospel) :biggrin1:

Bado na msimamo wangu ule ule mwanamke mwenye umri wa miaka 70 kufanya sex, ni sawa sawa na kichaa anaye tembea uchi barabarani hajui anafanya nini, wala hahisi kitu...na sio kila anaye fanya sex ana enjoy btw :biggrin1:

Hakuna utata juu ya umuhimu wa elimu, ila ni kweli pia shule ya darasani pekee haikupi kila kitu kinachoweza kuitwa elimu, na wakati mwingine elimu ya shule (formal) inakua too general.

Samahani labda ningeuliza, huo 'msimamo wako' ni kutokana na 'shule' gani? au ni mtazamo binafsi 'madhubuti?'

Btw, The Hite report sio ya google, ila imewekwa humo kuturahishia upatikanaji, it's a well known reserach on sexuality, both female and male, ambayo inaelezea subjective experiences sio generalization inayoletwa na vitabu mnavyovisoma humo madarasani.

Ila pia elimu haina mwisho, isome tu utaelewa ninachoongelea, mwili wa binadamu uko complex sana kujaribu kuja na 'misimamo' (kama huo wa kwako) isiyo na ushahidi usiotia shaka!

Nimejaribu kukupa mtazamo wangu, tafadhali naomba uweke ushahidi wa unachoongea pia, ili niepuke mabishano yasiyo na tija!
 
Natalia ngoja niongee kidogo na wewe japo huwa nakuchukia kwa jinsi unavyompenda Romney badala ya Obama na vile unavyodharau wanaume wakibongo kuliko wa aina ya mmeo... nimefunguka kidogo tu... lol

Kuhusu hali ya kumkuta mama ako/mama mkwe wako unatakiwa ukae kimya tu na atakupenda sana maana wamama wanaogopa fedhea kwa watoto wao.... imagine umri huo...! Just keep at as a secret hata yeye akimwambia mwanae as you dought unaweza kujitetea kuwa: Ni kweli mama mkwe nimewahi kumkuta na mzee hawakuwa katika mazingira ya kupeana tam ...

It will be so wise to be silent than to reveal the truth...! Just forget it in ur mind hautajiuliza uliza what to do: Inshort haikuhusu coz ur huby anaweza akata uthibitisho na hukuwapiga picha au video clip utaabika si unajua mama ni mama?
 
Last edited by a moderator:
duh!at that age yet shes performing do me i do u?i cant imagine at her 20's!!najaribu kuwaza akifikika kileleni anakuwaje,wish to see her,lol!ok,piga kimya tu
 
Back
Top Bottom