Nataka Unitongoze

Nataka Unitongoze

Status
Not open for further replies.
Man u just gave me a hint now... I'mma hit my encyclopedia really fast..

One more thing, where did his father work after returning from his USA Scholarship??

Haaaaa bruh bruh bruh slowly,
You don't want our lad to jump out of his skin, do yah?
Do the Encyclopedia first and then we will get more hints.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Kuna siku moja hivi nilikuwa sina hili wala lile. Nimekaa tu nyumbani naangalia dari, kuta, na sakafu za marumaru.

Basi nikampigia simu mshkaji kuona ana mpango gani kwa jioni ile.

Akasema 'Ngabu kwa nini tusiende Ramada tukajivinjari hapo?'. Nikasema poa. Nikaenda nikamkuta tayari keshafika yuko na wachuchu wawili.

Nikaagiza Pinot Grigio halafu nikajichanganya naye. Sasa nikawa nimevutiwa na yule binti mwingine, Janeth.

Nikaanza kupiga naye stori na mambo mambo. Sasa huhitaji kuwa mwanasayansi wa roketi za anga kung'amua kama nilikuwa nimemtamani. Hata yeye aliliona hilo lakini akawa anajishebedua tu.

Baadaye ndo akaniambia eti anataka nimtongoze. Nikapigwa na butwaa. Ina maana wakati wote huo nilikuwa simtongozi?

Kutongoza ndo kukoje kwani? Ni lazima useme maneno gani? Maana huenda hiyo sehemu ya mchezo mi bado sijaijua.
Nipe namba yake
 
Unazidi kujazwa uongo tu.

Pops shahada zote kachukulia USA. Kuanzia ya kwanza hadi ya tatu. Na wala hakusomeshwa na serikali.

Mambo ya East Africa yanatokea wapi tena?

Mtaanza kuwafuatilia watu ambao siyo kabisa aisee.
Told me he is smart... Don't u MALCOM LUMUMBA
 
Unazidi kujazwa uongo tu.

Pops shahada zote kachukulia USA. Kuanzia ya kwanza hadi ya tatu. Na wala hakusomeshwa na serikali.

Mambo ya East Africa yanatokea wapi tena?

Mtaanza kuwafuatilia watu ambao siyo kabisa aisee.

Hapana Shahada mbili tuuu!
Hakuna mbogo ambaye kipindi cha Nyerere alikuwa na uwezo wa Kujisomesha kwa kufuga Ng'ombe Usukumani.
Hayupoooooo. Scholarship zilizotolewa Bongo nyingi zilikuwa za Foundation fulani hiviiiiii ya yule Tajiri wa USA BABY!!!!!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Kuna siku moja hivi nilikuwa sina hili wala lile. Nimekaa tu nyumbani naangalia dari, kuta, na sakafu za marumaru.

Basi nikampigia simu mshkaji kuona ana mpango gani kwa jioni ile.

Akasema 'Ngabu kwa nini tusiende Ramada tukajivinjari hapo?'. Nikasema poa. Nikaenda nikamkuta tayari keshafika yuko na wachuchu wawili.

Nikaagiza Pinot Grigio halafu nikajichanganya naye. Sasa nikawa nimevutiwa na yule binti mwingine, Janeth.

Nikaanza kupiga naye stori na mambo mambo. Sasa huhitaji kuwa mwanasayansi wa roketi za anga kung'amua kama nilikuwa nimemtamani. Hata yeye aliliona hilo lakini akawa anajishebedua tu.

Baadaye ndo akaniambia eti anataka nimtongoze. Nikapigwa na butwaa. Ina maana wakati wote huo nilikuwa simtongozi?

Kutongoza ndo kukoje kwani? Ni lazima useme maneno gani? Maana huenda hiyo sehemu ya mchezo mi bado sijaijua.
Kumtongoza maanake umpe hela, umpe hela! Umpe helaaaa!!!!!...
 
Hapana Shahada mbili tuuu!
Hakuna mbogo ambaye kipindi cha Nyerere alikuwa na uwezo wa Kujisomesha kwa kufuga Ng'ombe Usukumani.
Hayupoooooo. Scholarship zilizotolewa Bongo nyingi zilikuwa za Foundation fulani hiviiiiii ya yule Tajiri wa USA BABY!!!!!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

We jamaa unahangaika kweli na huna unalolijua.

Sasa basi, hebu litaje hilo jina la mdingi wangu hapa nione kama unamjua.

Manake kila unachohisi ni uongo tu.

Unasema alikuwa hana shahada tatu...alifundishaje UDSM miaka yote hiyo bila kuwa na shahada tatu?

Taja jina lake hapa tuone kama hujaishia kutaja wazee wa watu wengine tu...
 
Was about to tell him so... First Degree in US tena kujisomesha that means yeye alikuwa mtoto wa chifu fulani labda..
 
Kwani kila aliyesoma nje ni kajisomesha mwenyewe?

Mbona mnakuwa parochial namna hiyo?

Anyhow, endeleeni ku guess na ukweli kamwe hamtajua.

Mtaishia kusambaziana uongo tu.
 
Hapana Shahada mbili tuuu!
Hakuna mbogo ambaye kipindi cha Nyerere alikuwa na uwezo wa Kujisomesha kwa kufuga Ng'ombe Usukumani.
Hayupoooooo. Scholarship zilizotolewa Bongo nyingi zilikuwa za Foundation fulani hiviiiiii ya yule Tajiri wa USA BABY!!!!!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Was about to tell him so... First Degree in US tena kujisomesha that means yeye alikuwa mtoto wa chifu fulani labda..
We jamaa unahangaika kweli na huna unalolijua.

Sasa basi, hebu litaje hilo jina la mdingi wangu hapa nione kama unamjua.

Manake kila unachohisi ni uongo tu.

Unasema alikuwa hana shahada tatu...alifundishaje UDSM miaka yote hiyo bila kuwa na shahada tatu?

Taja jina lake hapa tuone kama hujaishia kutaja wazee wa watu wengine tu...
Nadhani Mali alimaanisha alisomea degree mbili US.. Meaning Second and PhD
 
Damn Smart, Extra Smart!
Both parents are brilliant.
The boy got it from both, but much of him is influenced by his mother.
Can't you see sometimes he goes pro women too much?
Mommas boy, mommas boy!
 
Was about to tell him so... First Degree in US tena kujisomesha that means yeye alikuwa mtoto wa chifu fulani labda..

Nadhani Mali alimaanisha alisomea degree mbili US.. Meaning Second and PhD

Oh okay.

Regardless, your buddy is way off base.

He is 100% wrong.
 
Was about to tell him so... First Degree in US tena kujisomesha that means yeye alikuwa mtoto wa chifu fulani labda..

Nadhani Mali alimaanisha alisomea degree mbili US.. Meaning Second and PhD

Huyu Chalii alivyokuwa anaropoka hapa mimi nilikuwa namtempt tu ajichanganye aelekee kibra mimi niweke kisu.
After all i promised you that i will deal with such people who CURSE THEIR MOTHER LAND.
Baba yake kasomeshwa na Wamarekani, wala hakuwa mtoto wa chief.
Alikuwa na akili sana shuleni huko, saaaaana. Basi baba wa taifa katika wasomi aliosomesha baba yake jamaa naye yumo.
 
Hot air and smoke.

You don't know diddly.
 
Huyu Chalii alivyokuwa anaropoka hapa mimi nilikuwa namtempt tu ajichanganye aelekee kibra mimi niweke kisu.
After all i promised you that i will deal with such people who CURSE THEIR MOTHER LAND.
Baba yake kasomeshwa na Wamarekani, wala hakuwa mtoto wa chief.
Alikuwa na akili sana shuleni huko, saaaaana. Basi baba wa taifa katika wasomi aliosomesha baba yake jamaa naye yumo.
How did this come to be about a personal life, we all knew the thread was just full of jokes?
 
U guys got those silly jokes that make me believe u know each other..

So I'mma dance with your beats..

No we don't.

That I can GUARANTEE you.

He may make you believe he knows me.

But he doesn't.

Hivi unadhani kama kweli ningekuwa najua kwamba ananijua ungeniona humu nikim-dare amtaje pops?
 
We jamaa unahangaika kweli na huna unalolijua.

Sasa basi, hebu litaje hilo jina la mdingi wangu hapa nione kama unamjua.

Manake kila unachohisi ni uongo tu.

Unasema alikuwa hana shahada tatu...alifundishaje UDSM miaka yote hiyo bila kuwa na shahada tatu?

Taja jina lake hapa tuone kama hujaishia kutaja wazee wa watu wengine tu...

Bwahaaaaaaa bwahaaaaaaaa bwahaaaaa!
Wewe acha kulia alia hapa
Baba yako shahada ya kwanza kachukulia UDSM. Take that! Take That!
Hizo nyingine alichukulia huko Americas, na swala la kufundisha UDSM yule hakufundisha pale miaka yote.
Alirudi tena UDSM miaka ya 80's.
Bwahaaaa bwahaaaaaaaa!
 
Huyu Chalii alivyokuwa anaropoka hapa mimi nilikuwa namtempt tu ajichanganye aelekee kibra mimi niweke kisu.
After all i promised you that i will deal with such people who CURSE THEIR MOTHER LAND.
Baba yake kasomeshwa na Wamarekani, wala hakuwa mtoto wa chief.
Alikuwa na akili sana shuleni huko, saaaaana. Basi baba wa taifa katika wasomi aliosomesha baba yake jamaa naye yumo.
Naona unapiga mule mule.. Ebu endelea kutiririka, Ila Nyani ni mjanja so unatakiwa uwe mjanja mara mbili yake.. One mistake ataichukulia advantage.. Legoooo mamen
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom