HHHK
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 817
- 288
Ivi hakuna wachungaji humu MMU?
Nipo mkuu ila nafatilia kimya kimya kwanza
Ivi hakuna wachungaji humu MMU?
daah mkuu, ungefanya iwe 19th feb my birthday ili nami niwe among the audienceHabari zenu MMU wik end ndo hii hapa, hasa kwa mambo yetu yalee ya kati. Natakiwa kupiga show moja kali matata sasa naaza kujikoki mtoto wa kike nisije aibika bure siku ya show. Katika vikoromwezo vyangu vya kujiandaa nimegundua kuna kitu kinamiss na kinaweza nishushia maksi sasa kila nikiuliza maduka ya wahindi nimekosa naombeni msaada wenu kuipata bidhaa hii tafadhali.
Nataka UDI wa kujifukiza SIO ubani hapana nataka UDI shurti nijifukize baada ya kujiswafi tayari kwa show. Show yenyewe itakuwa tarehe 20 February,2014 msaada wenu tafadhali wapi naweza pata bidhaa hiyo.
Week end njema wote.
Nipo mkuu ila nafatilia kimya kimya kwanza
Hehehee natarajia kupiga show moja matata sio bendi bana show ya kikubwa na hii inachezwa winawima kiwanja cha seremala kinakaa pembeni. Udi unafanya kunako kunakuwa intact tayari kwa mashambulizi yaani hata akiamua kuramba ukwaju akuuu anakuta udi udi tuu. Kama hujaelewa muulize excel akusaidie mie ualimu niliushindwaKasinde, una show gani tar. 20 febr?
Ama una bendi ya muziki, na udi unahusikaje na kujikwatua kwa ajili ya show? au mimi sijaelewa nini!!!!!!!
Hehehee natarajia kupiga show moja matata sio bendi bana show ya kikubwa na hii inachezwa winawima kiwanja cha seremala kinakaa pembeni. Udi unafanya kunako kunakuwa intact tayari kwa mashambulizi yaani hata akiamua kuramba ukwaju akuuu anakuta udi udi tuu. Kama hujaelewa muulize excel akusaidie mie ualimu niliushindwa
Kasinde huku ni kututia mihamu tu isiyo na maana bana....wengine tuko celibate banaaaaaaaaaaaaa