Nataka udi nisaidie kulipata

Nataka udi nisaidie kulipata

mambo vipi lakini kalunde!? mbona unakuwa adimu ka chozi la sangara?

Hahahahaaaaa excel wewee huku ni kuchokoana huku, aliekwambia uniite kalunde huku nani? Kuna watu wanaweza unganisha dots wakanijua
Siko adimu niko availebo tuu kama bodaboda kula kona kila wakati...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa excel wewee huku ni kuchokoana huku, aliekwambia uniite kalunde huku nani? Kuna watu wanaweza unganisha dots wakanijua
Siko adimu niko availebo tuu kama bodaboda kula kona kila wakati...

mambo mengi adorable.. haya, nipe za uso!

did you receive my one kiss?
 
mambo mengi adorable.. haya, nipe za uso!

did you receive my one kiss?

Mwenzio nimeanza kuona aibu hapa mbele za watu wote wanatutazama, but I get ur kiss.... thanks excel touch...
 
Nipeni kula nishibe mimi, mwili wangu unenepe
Siwezi kula vifupa jamani mwenzenu kibogoyo

Nataka paja mie, hakinitoshi kipapatio
Nataka paja mie, hakinitoshi kipapatio
Nasema nataka paja mie

Soda ya kopo, soda ya kopo
Soda ya kopo, soda ya kopo

ahahahahaha........
 
Naomba tupige show ya kujipima nguvu kabla ya hiyo ya tarehe 20 kashinde

Mie ni kasinde sio kashinde, halafu show ni moja tuu majaribio hakuna
 
Last edited by a moderator:
Hiyo show itakuwa ya live au playback cd?

Hahahaaa live bana mie mwenyewe niko live y kufanya show ya kizombie, yaani ni kusimamia kwato mwanzo mwisho ila washangiliaji hamna....hehehee
 
Mwenzio nimeanza kuona aibu hapa mbele za watu wote wanatutazama, but I get ur kiss.... thanks excel touch...

love is blinde Kasinde!! hapa watu wooote wako blind!

tunaonana sisi tu!

chukua nyingine ya kithogo!
 
Last edited by a moderator:
love is blinde Kasinde!! hapa watu wooote wako blind!

tunaonana sisi tu!

chukua nyingine ya kithogo!

Oohh My Goosh!!! Ukiendelea zaidi ntakuwa nshahorojeka yaani ukipeleka tuu kulia naenda kushoto naenda juu.... singing the same rythm?
 
Last edited by a moderator:
Nakuja kupiga na collabo

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom