Nataka udi nisaidie kulipata

Nataka udi nisaidie kulipata

Habari zenu , ndo hii hapa, hasa kwa mambo yetu yalee ya kati. Natakiwa kupiga show moja kali matata sasa naaza kujikoki mtoto wa kike nisije aibika bure siku ya show. Katika vikoromwezo vyangu vya kujiandaa nimegundua kuna kitu kinamiss na kinaweza nishushia maksi sasa kila nikiuliza maduka ya wahindi nimekosa naombeni msaada wenu kuipata bidhaa hii tafadhali.

Nataka UDI wa kujifukiza SIO ubani hapana nataka UDI shurti nijifukize baada ya kujiswafi tayari kwa show. Show yenyewe itakuwa tarehe 20 February,2014 msaada wenu tafadhali wapi naweza pata bidhaa hiyo.

Udi na wembe uchanje kisha ufukize na udi virgin bandia ya kizaramo,papuchi ina tight balaa alafu akisugua anatonesha chale zile alafu anaambiwa umenikata bikra chukua jumla!
 
nkisikia harufu ya udi natapikaaaa..kama mtu akipita mbele yangu na amejifukiza naweza tapikaa yaan naichukiaaa
 
cjawahi kunywa supu ya pweza huwa nakula pweza mwenyewe tuu let me try ila nsije nkazidisha dozi ikanletea balaa.

kazi ya supu ya pweza ni kuzidisha balaa..

sasa as long as afisa mtuliza mabalaa nipo, usiwe na hata punje ya wasi wasi!
 
Excel lets move there there, here here no, eyes eyes look look me, me feel shy shy.....
 
Last edited by a moderator:
Nipeni kula nishibe mimi, mwili wangu unenepe
Siwezi kula vifupa jamani mwenzenu kibogoyo

Nataka paja mie, hakinitoshi kipapatio
Nataka paja mie, hakinitoshi kipapatio
Nasema nataka paja mie

Soda ya kopo, soda ya kopo
Soda ya kopo, soda ya kopo

Hahahahahaha u made my day🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
u no wea bana...

ng'rrrr ng'rrrr ng'rrrr ng'rrrrrr halooo... haloooo ..... halooooo......,
unanikatia simu unanionea
we ungekuwepo ungejionea
unanifanyia hivo unanikosea babaaaa

...... nimechoka kungoja highyway
nitapita popote mradi weee
ili kama ni kesi na iweeee
....hatuelewani
nimechoka kupiga simu ng'rrr ng'rrrr hatuelewani
by the way
nimechoka kupoteza time
nina siku nyingi kwenda home
i am missing my baby
halloooo baby,....
natamani niwe nyumbani
nimekwama hapa njiani
kuna jam baby ...(mentor kaniwekea kizuizi)
ila nitafanya vyovyote na iwe
hata kama ni kesi na iwe
mradi tu nyumbani nifike
mentor sogea nimuwahi baby wangu !!!
 
huo udi ukishajifukisha unatakiwa uchanganye na majani fulani hivi ya mahaba yanatokana na mmea unaitwa MMAVIMAVI, ukijifukiza na hayo basi ushindwe wewe tuu kung'oa hilo buzi.

Habari zenu , ndo hii hapa, hasa kwa mambo yetu yalee ya kati. Natakiwa kupiga show moja kali matata sasa naaza kujikoki mtoto wa kike nisije aibika bure siku ya show. Katika vikoromwezo vyangu vya kujiandaa nimegundua kuna kitu kinamiss na kinaweza nishushia maksi sasa kila nikiuliza maduka ya wahindi nimekosa naombeni msaada wenu kuipata bidhaa hii tafadhali.

Nataka UDI wa kujifukiza SIO ubani hapana nataka UDI shurti nijifukize baada ya kujiswafi tayari kwa show. Show yenyewe itakuwa tarehe 20 February,2014 msaada wenu tafadhali wapi naweza pata bidhaa hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom