Nataka udi nisaidie kulipata

Nataka udi nisaidie kulipata

Habari zenu MMU wik end ndo hii hapa, hasa kwa mambo yetu yalee ya kati. Natakiwa kupiga show moja kali matata sasa naaza kujikoki mtoto wa kike nisije aibika bure siku ya show. Katika vikoromwezo vyangu vya kujiandaa nimegundua kuna kitu kinamiss na kinaweza nishushia maksi sasa kila nikiuliza maduka ya wahindi nimekosa naombeni msaada wenu kuipata bidhaa hii tafadhali.
Nataka UDI wa kujifukiza SIO ubani hapana nataka UDI shurti nijifukize baada ya kujiswafi tayari kwa show. Show yenyewe itakuwa tarehe 20 February,2014 msaada wenu tafadhali wapi naweza pata bidhaa hiyo.
Week end njema wote.

Ukipania hivo mwisho inakuwaga mbaya yani utafanya makolokocho...
mara mwezi ushuke duniani
ungekuwa mwanaume uuuuh haisimami labda kwa p.o.p
katafute maduka ya waarabu wanaouza henna, marashi n.k
mweh umentamanisha kupiga chabo....:loco:
 
Eeeeehhhh mie haya mageni kwangu

Ngoja nende zangu
 
Ukipania hivo mwisho inakuwaga mbaya yani utafanya makolokocho...
mara mwezi ushuke duniani
ungekuwa mwanaume uuuuh haisimami labda kwa p.o.p
katafute maduka ya waarabu wanaouza henna, marashi n.k
mweh umentamanisha kupiga chabo....:loco:

Hheheheeee umenchekesha, mwezi nshauweka kati wala tarehe hizo hautanisumbua so hapo niko swaaafiii.
Asante ntaenda hayo maduka ya waarabu niulizie tena japo kuna duka moja mjini wanauza henna wakaniambia hawana, tena nataka ile ya chenga ikikolea kunakuwa tamuu kama sukari jamaa akianza kuchomeka muwa atakuwa anameza mate tuu. Mweeeh ukipija chabo utaweza vumilia hadi mwisho? Usjekimbilia kwenye mti wa mbilimbi looh heheheheee
 
Umesema shoo itafanyika kichochoro gani? i will be there for chabo tu

Heheheee utaweza kuvumilia kuangalia chabo maana midadi itakayokupata lazima uutafute mpera, dont say I did not warn u, stay tuned for the venue u'll be updated soon
 
Kumbe tuna wanabendi sijui wanakwaya wa taarab humu wana mauno kata...!!!

Mambo ya show za 6 kwa 6 hakuna refa wala faulo wala watazamaji hehehe

Uchokozi huoo, mtu anaburudika we unamchokoza, chezea udi wewe usithubutu kukutwa unasahau hadi jina lako, ukiulizwa unaitwa nani unabaki eehh eehh hahahaaaaa
 
Kasinde ni-pm namba yako ileee.. nikupe mautundu ya kujifukiza huku ukiwa na mziki laiiini wa anantara spa!!

sheria za udi shurti uwe gubi gubi..

Heheheeee tuhamie huko unipe hayo maujanja looh na mziki tena, halahala tuu nsijejikuta naahirisha mechi yangu kwa maufundi yako.
Gubigubi muhimu hiyo nafahamu c u there...
 
Last edited by a moderator:
Hheheheeee umenchekesha, mwezi nshauweka kati wala tarehe hizo hautanisumbua so hapo niko swaaafiii.
Asante ntaenda hayo maduka ya waarabu niulizie tena japo kuna duka moja mjini wanauza henna wakaniambia hawana, tena nataka ile ya chenga ikikolea kunakuwa tamuu kama sukari jamaa akianza kuchomeka muwa atakuwa anameza mate tuu. Mweeeh ukipija chabo utaweza vumilia hadi mwisho? Usjekimbilia kwenye mti wa mbilimbi looh heheheheee

Hebu utanitumia jina lake na mi nitafute, nimpe shemeji ako burudani....
 
Dah nimeamini kuna kila sampul ya viumbe!!aya bibie nenda mtaa wa narung'ombe pale kuna maduka ya waarab karibia na yale mabenk yaliyofuatana utapata hitaj la moyo wako!
 
Heheheeee tuhamie huko unipe hayo maujanja looh na mziki tena, halahala tuu nsijejikuta naahirisha mechi yangu kwa maufundi yako.
Gubigubi muhimu hiyo nafahamu c u there...

assume kitufe cha like hakingekuwepo, halafu kiwepo kitufe cha kiss.. mmh!

10 kisses received from excel! hahahahaaa!!
 
Dah nimeamini kuna kila sampul ya viumbe!!aya bibie nenda mtaa wa narung'ombe pale kuna maduka ya waarab karibia na yale mabenk yaliyofuatana utapata hitaj la moyo wako!

nna duka moja zuri sana pale charty.. kama vipi uwe unapitia siku moja moja...
 
Last edited by a moderator:
Sisi siyo wanganga au hatumiliki majini waulize wanganga kila unakopita huoni mabango ya wanganga
Habari zenu MMU wik end ndo hii hapa, hasa kwa mambo yetu yalee ya kati. Natakiwa kupiga show moja kali matata sasa naaza kujikoki mtoto wa kike nisije aibika bure siku ya show. Katika vikoromwezo vyangu vya kujiandaa nimegundua kuna kitu kinamiss na kinaweza nishushia maksi sasa kila nikiuliza maduka ya wahindi nimekosa naombeni msaada wenu kuipata bidhaa hii tafadhali.
Nataka UDI wa kujifukiza SIO ubani hapana nataka UDI shurti nijifukize baada ya kujiswafi tayari kwa show. Show yenyewe itakuwa tarehe 20 February,2014 msaada wenu tafadhali wapi naweza pata bidhaa hiyo.
Week end njema wote.
 
Kasinde, una show gani tar. 20 febr?
Ama una bendi ya muziki, na udi unahusikaje na kujikwatua kwa ajili ya show? au mimi sijaelewa nini!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
nna duka moja zuri sana pale charty.. kama vipi uwe unapitia siku moja moja...
oh kumbe!unauza bidhaa gan mpendwa nipitie hapo maana hyo ndo njia yang kila asubuh na jion!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom