Mshawa
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 787
- 325
Hahahaaa live bana mie mwenyewe niko live y kufanya show ya kizombie, yaani ni kusimamia kwato mwanzo mwisho ila washangiliaji hamna....hehehee
Kasinde naomba kuwa refa wa hii gemu....
Hahahaaa live bana mie mwenyewe niko live y kufanya show ya kizombie, yaani ni kusimamia kwato mwanzo mwisho ila washangiliaji hamna....hehehee
hapa nimeachwa porini kasinde!
Oohh My Goosh!!! Ukiendelea zaidi ntakuwa nshahorojeka yaani ukipeleka tuu kulia naenda kushoto naenda juu.... singing the same rythm?
Pls lets find a room yaani naskia aibu hapa nakula kucha tuu, hata kukutazama usoni siwezi, help me pls
Kuna wanaotupiga chabo ujue...
Yaani dem ukijifukizia udi nakushusha hadhi kabisa cjui kwann? Si pendi kabisa
Kondoo wako wamevunja zizi na kuanza kuingia kwenye mashamba ya watu ujue....
Yaani nikutie hamu (hapo kwenye hamu unatamani na utapata utamu ukianzia mawazoni hadi mwilini) kisha mihamu hiyo uione haina maana (hapa ni kuonesha umekosa wa kupiga nae show) ok nimekymbuka kumbe wewe ni sinia bachela pole ndo uoe sasa. Achana na ucelibate utakupoteza kuya pande hii full kuchutama na kuchubwika kistaarabu na kiroho safi.
Usivute hisia utakapokutana na mrembo mwenye genye.... waweza toka umevaa mashuka looh
Ivi hakuna wachungaji humu MMU?
Kashinde, kashinde hilo pepo la uzinzi ktk jina la Yesu Kristo wa Nazareti!