Nataka simu yangu mtandao usome 2G, sitaki 3G wala 4G

Nataka simu yangu mtandao usome 2G, sitaki 3G wala 4G

Pitia haya maelezo kwa msaada zaidi. Lakini kama ngoma inasoma no network naona kuna jambo lingine hapo.


Press the settings icon.
Press More networks.
Press Mobile networks.
Press Network mode.
Select network mode
Press LTE/WCDMA/GSM (auto connect), WCDMA/GSM (auto connect), WCDMA only or GSM only.
3G (UMTS) or 4G (LTE) enables you to achieve higher data speeds than when using 2G (GSM).
If you select LTE/WCDMA/GSM (auto connect), your phone automatically switches between the three network modes provided that you're within range of a 4G network.
If you select WCDMA/GSM (auto connect), your phone automatically switches between the two network modes provided that you're within range of a 3G network.
If you select WCDMA only, your phone can only connect to 3G networks.
If you select GSM only, you can't achieve high data speeds.
 
Kwanza pole sana.

Kama nimekuelewa vizuri, simu yako kwa sasa ipo kwenye 4G mode. Hapo unataka uweke itumie 2G pekee. Cha kufanya, nenda kwenye settings, networks, kuna option mbili au tatu za wewe kuchagua. Kati ya ile auto au 2G.
Mkuu, Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom